labda aliahidiwa kitu hajakipata na muda umepita au amegunduwa kadanganywa si unajuwa mambo ya kiswahili ukaahidiwa itakuwa kesho inachukuwa week
Mbona JK alimsaidia sana Kigwangala alipokuwa anatafuta Ubunge. Kama sikosei Kigwangala alikuwa ni mtu wa karibu sana na First Family kabla ya kupata Ubunge.
Kuna haja ya watu kuwa na shukrani, ni alama ya ustaarabu.
Huyu si juzi tuu alikuwa analalamika January Makamba kuongelea mambo ya posho nje ya vikao? Na yeye akaongelee huko huko kwenye vikao.
Ulilosema ni la kweli haya matamko hatukuyaona kipindi cha BWM, hapo kuna lao jambo na yanaonyesha ni chuki zaidi za kidini kuliko dhamira ya kweli ya kumkomboa mtanzania
Mnapoteza muda wenu kumjadili huyu mtu, alishapoteza mwelekeo siku nyingi. nadhani hajui hata anachokisemaHuyu si juzi tuu alikuwa analalamika January Makamba kuongelea mambo ya posho nje ya vikao? Na yeye akaongelee huko huko kwenye vikao.
Hv haya mabala za kikristo mbona toka jk huwa yanatoa matamko mbona enzi ya mk hawakutoa,ha ha ha kumbe jk ni muslim
JK ni janga la kitaifa.
Ulilosema ni la kweli haya matamko hatukuyaona kipindi cha BWM, hapo kuna lao jambo na yanaonyesha ni chuki zaidi za kidini kuliko dhamira ya kweli ya kumkomboa mtanzania
Kigwangala anazuga, yupo karibu na first family, na alibebwa kupata ubunge licha ya kushindwa vibaya kwa kura za CCM na Bashe na Selelii.
Anasema tu ili asikike...
NI KATIBA MPYA TU ITAKAYOPUNGUZA MADARAKA MAKUBWA KUPITA KIASI YA RAIS WA TANZANIA...
Ukizingatia na hiyo nafasi ya ubunge alipita kwenye kura za maoni kwa bahati mbaya, tunasubiri 2015 ka atapewa tena.., Maanake hana tofauti sana na mbunge wa viti maalum