Mbunge awaficha waliofiwa Tarime

Nauliza: Hii serikali ya kisanii, kandamizi na ya kifisadi ya CCM inayo mbinu au busara yoyote ya kutatuwa mgogoro huo zaidi ya ubabe, kumpakata mwekezaji, na kutumia risasi kuwauwa raia kwa niaba ya mwekezaji huyo? Haya yote yanayotokea hayakuwapo kabla ya ujio wa mwekezaji wa mgodi, watu walikuwa wanauana kwa masuala mengine.

haya ya kina Lema ni matokeo (manifestatitions) tu ya umafia wa serikali ya CCM na mwekezaji dhidi ya wananchi ambao kosa lao kubwa ni kutaka haki juu ya rasilimali zilizo katika eneo lao, na siyo haki ya familia zilizoko huko Canada.

Nashangaa mnamkazania Lema huku kiini cha suala hamtaki hata kukiangalia. Tatua kiini, halafu yote yatajiweka sawa. Serikali ya CCM haina busara wala mbinu yoyote ya kutatua mgogoro ila risasi tu. kuna mtu wa kubisha hapa?

Bora hata hao LHRC waliosema ni bora mgodi ukafungwa kwanza ili utatuzi upatikane kwanza.
 


Hapo umenena mpiganaji. serikali ya CCM inazungukazunguka tu haina mbinu yoyote ya kutatua mgogoro huo permanently zaidi ya mitutu tu kumlinda mwenye mgodi.
 

Wewe jaribu kusoma historia za wapigania haki kokote ulimwenguni, ni lazima kuwe na loosers at the end au wahanga. Ukitaka mambo yaende kwa slow motion na kukwepa self denial ndipo hapo ambapo mtaendelea kunyanyasika na kamwe haki haitapatika. Wameamua kujitoa kwa ajili ya wanyonge hebu waache wafanye kazi hii ambayo mimi na wewe tumeshindwa kujitoa kwayo.
 
Haya mabo yanatia hurima sana.mungu atusaidie tuwe na riho ya imani maana tunakoeleka ni kubaya.
 

Kwani yaliyotokea mgodini Bulyanhulu miaka ya nyuma ambapo inasemekana wachimbaji wadogo walifukiwa wakiwa hai na wenye mgodi(muwekezaji) wakati wa purukushani za kuwafukuza kwa ushirikiano na FFU unajua Lawyers Environmental Action Team -LEAT (NGO) walifanya nini? Walitafuta ushahidi wote na wakafungua kesi lakin mwisho wa siku kiongozi wa NGO hiyo aliwekwa selo na ishu ikanyamazishwa, mimi naona hapo mpaka kieleweke kwani hata wakifungua kesi ni yale yale tu ya kuchakachua
 
Huyu mbunge sijui ana mamlaka kisheria kuteka nyara watu.Pamoja na kuvunja sheria sidhani kama akili yake ni sawa.Huwezakuwatesa wafu wasipumzike kwa amani kwa sababu zako za kisiasa.Huo ni kukosa utu.Na kama umewashikilia bila ya ruhusa toka mahakamni unatkiwa uchukuliwe atua za kisheria za utekanyi nyara.
 

Naanza kupata wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria! Yaani wewe ukiwa na silaha ni kuua tu! Hatujapewa bunduki tuue watu wasio na hatia. Kama kweli polisi walikuwa kwenye haki wanahaha nini kutaka kuwalipa fidia na kugharimikia mazishi? Ni upuuzi kudhani kuwa haki ilitendeka hapa na hili ndilo linalotufikisha hapa! Kila kitu tunamsingizia Mungu! AAAAH MUNGU NDIYE AJUAYE! Jamani angalao kwa akili zetu za nusunusu tufike pahala tuseme hii hapana! Sio mara ya kwanza hawa ndugu zetu kuuwawa! Wananchi wamechoshwa na hii hali. Guys I keep on telling people that FOOL ON ME ONCE SHAME ON YOU FOOL ME TWICE SHAME ON ME! Haiiningii akilini mtoto wa kwanza kauwawa nikasamehe wapili naye nisamehe na muuaji yuleyule! Kweli unakaa kimya tu! Believe me if you dont act on it you are next! Kuua kwa kujaza matumbo ya wachache! Nguvu kazi ya taifa hili inauana na viongozi wetu wanaangalia na zaidi wanatudhihaki! Eti tutagharimikia mazishi! Ni nani ambaye alikufa tukashindwa kumzika! Tutawapa pole ya shs 3,000,000! Huku kaacha watoto ambao hawana baba! Tunamwandaa vipi watu wetu ili mkifika huko kwenye projection yenu ya 2025 waweze kukabiliana na utajiri ambao mnajinadi kuwaachia!

Mikono ya walioko madarakani imejaa damu. Damu hii ndiyo itakayowatafuna hata kiama. Mnapochimba kaburi letu basi chembeni na lenu maana wakati huo sisi hatutakuwepo kuwachimbia kaburi lenu! Ni aibu kumuua mwanao ili umwokoe mtoto wa mwingine!
Nakwambia hao mnaowaita WAWEKEZAJI hawana jema nanyi hata dahari! NI WEZI TU KWA KUTUMIA NGOZI NYINGINE. Na sasa mtaongeza urefu wa magereza yenu zaidi maana haya mliyonayo yanarukika kwa urahisi zaidi!
 
Kwa hiyo hao wavamizi wangeachiwa wafanye wanavyotaka sio, hiyo ndio akili mliyonayo CDM.Hamjui nchi inaendeshwa kisheria.Hao waekezaji wangeuawa nani wa kulaumiwa,CDM ? I don't think so.Mshaanza kuingilia utawala wa serikali,hamjui nchi inatawaliwa na srikali ya CCM.Mlishindwa uchaguzi ,sasa hivi mnahaha kama mbwa mwizi.Hii nchi inaendeshwa kwa sheria.Mtajifunza hivi karibu in hard way.
 

Kwa akili yako umeuona mtaji wa bure hapa wewe? Mh! Watu wengine bwana.
Wewe kwa akili yako unafikiri mtaji wa wanasiasa ni kitu gani kama siyo wananchi?
Chadema ni ya Ukweli kabisa. Hongera Lema hongera Chadema.
Mtaji wa kisiasa haupatikani kwa wanyama bali kwa binadamu wenye uhitaji!
Kamatieni hapo hapoooooo!
 

Hata kama mods mtanifungia ila HUU NI ZAIDI YA UPUMBAVU!
 
Inasikitisha nahisi kukiona kimvuli cha MUNGU AKITIKISA KICHWA KUKATAA KWA MASIKITIKO HAYA YANAYOFANYWA na serikali hii ya ccm without vision, mission, wapowapo kama wapita njia. No more hope,
WAR FRONT CHADEMA LETS GO.,! Make a way...
 

wewe unakubaliana na yale maji ya sumu wanayonyweshwa? Utajiri wao unaporwa waangalie tu? Acha ujinga bwana.
Unazidi kutufundisha uoga, Mf. Mimi niliibiwa na wezi fulani, nikawakamata waalifu kwa nguvu zangu baada ya Polisi kugoma, mimi ni mtaalam wa mapigano lakini sikutaka kuchukua hatua mkonono, nikawakamata bila kuwaadhibu nikawafikisha kituoni lakini baada ya kuondoka kituoni hawakukaa hata dk 20 nikakutana nao mtaa wa pili, wakawaibia tena wengine zaidi ya 20 mil, wakaachiwa pamoja na walikamatwa na mali lkn hawakukaa hata saa moja, kesi ikawa ngumu maana hugawana na Polisi, wakamwibia mke wangu tena, nikaamua tu kuwajulisha Polisi lakini msako nikafanya mwenyewe, nikawakamata nikavunja meno yote, mikono na miguu eti Polisi ndo wanaanza kunilaumu, nikaamua kutangaza vita sasa hivi Polisi wananiheshimu hasa baada ya kujua mimi ni mpiganaji maarufu، mambo mengine kwa Tanzania tunatakiwa tulazimishe vinginevyo tutaachwa tukichekwa. Mali imeshaondoka tunaachiwa mashimo tu.
 
Hana lolote zaidi ya uwendawazimu alionao unaosababishwa na hicho kitu anachovuta na tunaamini ya kwamba hatamaliza muda wa kipindi chake cha ubunge kabla ya kuwa chizi moja kwa moja mwambieni ache kuvuta ukubwani haipendezi

Unateswa na wivu tu. Chadema noma wewe ndiyo feki tu.
 

Watu wengine wanaongea utafikiri hawajaswaki, hawajui ku-cham-b-a, hawana ubongo, na mengine mengi. Hivi wewe na Lema nani hana akili?? Hujajitambua, siku ukijitambua urudi hapa JF ili tujenge nchi. JF si ya wenye mawazo mgando kama yako kwa kushindwa kupambanua vitu ambavyo hata mtoto mdogo anavipambanua. Sw--i--ne wewe
 
Ndugu yangu,wanachotaka watu wa tarime na ambacho wana cdm wanaenda kuwasaidia ni ukweli kujulikana na wahusika kuchukuliwa hatua ili isitokee tena full stop! Yaani unaogopa kushinikiza haki! Mbona huogopi ikiwa serikali haitawatendea haki raia wa huko kwa kuwawajibisha wahusika pia itasababisha fujo? Upo tayari wananchi wawe wapole kila wanapoonewa? Mbona huja shauri serikali ifate utaratibu wa kisheria ili kulinda amani? Unasema kuwafariji wafiwa ebu fikiria umefiwa wewe,faraja ni kupewa chakula na vijisenti vya ubani au haki ipatikane ili tujifunze.Mbona hofu yako imelala upande mmoja tu wa wanaodai haki na si watoa haki?kumbuka principle ya amani ni Haki kwanza amani inafuata,lakini kwa maelezo yako ni kinyume Amani kwanza then haki!
 

It goes both ways....

Hatua hii ya Chadema inaweza kuwa ni harakati za mwanzo mwanzo za kutaka kuondoa petroli jirani ya moto unaowaka.
 
Stupid oppsition is the one doesn't understand law and order.What the government would if some is coming to kill others.If CDM doesn't know law it should be abolished.
 
Lema ni sawa na haowaliofanya uvamizi,ametumia chombo chochote cha sheria ya nchi kfanya maamuzi yake ,au sheria mkononi utekaji nyara.ana mamlaka gani ya kufanya haya mambo bila ya kushirikisha serikali.anatakiwa achukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufanya uchochezi ili watu wauane zaidi.
 

Ashirikiane na serikali, kuna serikali kumbe Tanzania...wewe kweli unatokeo Zambia unawapandisha jk na kikundi cha wahuni ni serikali. Endelea kuwa na hope, Lema na cdm tutaendelea kuwaelimisha wananchi mpaka ccm wajue kwamba ukiwapiga wananchi tena risasi tunakuja huko mliko na jeshi letu. Good job Lema na wananchi wote Tarime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…