Mbunge atiwa mbaroni kwa kukiuka curfew

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,371
Jana alikamatwa jaji na kanali wa jeshini, usiku wa kuamkia leo mbunge ametiwa pingu, hakuna mchezo, taasisi zinazidi kuonyesha zipo huru kutekeleza wajibu wao kikatiba....enzi zile za kitambo ilikua kiongozi yeyote akikamatwa anapiga simu na amri zinatolewa za kumuacha huru na kuadhibu aliyemkamata.
=======================

Embakasi Central Member of Parliament Benjamin Gathiru Mwangi is among 34 people arrested on Saturday for disregarding the social distancing directive.

The MP was arrested at Ruai Gardens- an entertainment joint along the Eastern Bypass alongside 18 others.

Nairobi Regional Commander Phillip Ndolo told Citizen TV that police officers have intensified crackdown in a move aimed at averting the spread of the new coronavirus.

Elsewhere, 17 residents of the Nyayo Estate were arrested earlier on Saturday at a birthday party within the Estate.

The 17 were attending a party at the house of one of the officials of the estate with the neighbours saying the party had gone on for several days.

The lot will now be forced into a 14-day quarantine after which they will be tested for the novel coronavirus.


Photos shared across social media platform also showed Kenyans trooping into at a joint in Kitengela, flouting the directive that forbade gatherings.
On Friday, a magistrate and a Kenya Defence Forces (KDF) Colonel were among 30 people arrested at an unbridled party in Embakasi on Friday evening.

Officers acting on a tip-off from a member of the public raided the bar and arrested the revellers who had defied the government’s directives on social distancing.

The party-goers will be spending the Easter weekend in the slammer until Tuesday when they will be arraigned in court.

The Ministry of Health previously appealed to Kenyans to cease attending all forms of gatherings to avert the spread of the novel coronavirus,

On Monday, Health CS Mutahi Kagwe said police officers were pursuing four Kenyans who had hailed an ambulance to transport them to a party after the government imposed a Nairobi metropolitan area lockdown.
Kenya has so far recorded 191 cases of the coronavirus with the numbers set to rise once the government begins testing at the community level.

Embakasi Central MP Benjamin Gathiru among 18 arrested at Ruai bar - Citizentv.co.ke
 
Hizo curfew zenu mziweke kwa uangalifu na umakini zisiumize raia kama hawa wanavyoteseka.
 
Kazi nzuri ila isichanganywe na siasa

Kawaida mwanasiasa akikamatwa lazima ang'ake siasa, aseme anatafutwa ili amalizwe kisiasa, ila ndio kama hivyo, yaani anakutwa maeneo yasiyo lazima ikule kwake. Kule Afrika Kusini kuna waziri ameliwa na lockdown,kisa kaenda kula sehemu muda ambao haikustahiki.
Inapaswa taasisi zifanye kazi bila kuingiliwa, Tanzania kuna waziri muathirika wa Corona alikua amefichwa kwenye hospitali ya kawaida huku akiendelea kuwaponza wauguzi, makelele yakapigwa kupita maelezo, mitandaoni akasemwa balaa, mpaka ikabidi ahamishwe na kupelekwa karantini kama wengine. Haipaswi kusubiri hadi makelele ya watu ndio jambo lifanywe, inapaswa polisi wawe huru kumshukia yeyote.
Hapa Kenya kuna naibu gavana kaleta za kuleta, leo hii ni mwendo wa mapingu.
 
Back
Top Bottom