SIMBA mtoto
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 204
- 100
ASSUMPTER NSHUNJU MSHAMA
Member of Parliament CV
Huyu mama nilimsikiliza jana nikashindwa kuelewa alikuwa anasema kitu gani. Imebidi niingie kwenye wavuti wa bunge na nilichopata ni cv yake ambayo hajui hata alizaliwa lini!
Office zake anasema zipo Kyaka, Dar es Salaam. Jamani Kyaka ipo sehemu gani hapa Dar?