DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Bumbwini, Unguja, Zanzibar Mhe. Mwinyi Jamal Ramadhan alipata taabu kuapa mbele ya wabunge wenzake, hali hii imetokea bungeni leo Novemba 12, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati zoezi la uapisho kwa wabunge likiendelea.