Mbunge amtunishia msuli DC!

Mbunge amtunishia msuli DC!

:target: CDM imekuwa ni jalala la kila uchafu. na hii yote inafanywa makusudi ili kuipaka matope mbele ya wananchi ili ionekane haifai. si ajabu kesho tutasikia mjinga mmoja wa CCM akiibuka na madai kwamba mabilioni ya Uswisi yamefichwa na Mbowe au Slaa. kwamba Zito naye anahusika na kagoda. ni upuuzi..upuuzi tu!
:target:
 
Hao Wakulima wanapouza mazao yao wanakatwa kodi kubwa tu.. Wanaponunua mahitaji yao wanakatwa kodi.. Wanapopanda magari wanakatwa kodi.. Wanapowanunulia watoto wao unifomu na vitabu wanakatwa kodi.. Bado tena wanalazimishwa kuchangia ujenzi wa madarasa ambayo yanakosa walimu..!

Only in Tanzania ndo unapopatikana upuuzi huu....
 
Haka ka Meela ni kachumia tumbo sana .Kalipigwa chini kule kwenue jimbo na Lyatonga kakapewa kifuta jasho sasa kaneleta siasa hadi huko ?Kapuuzi sana
 
DC anasema 3000 haitosh?
Ni kwa mchanganuo gan wa matumiz? Ama ndo ule wa 50% wao na 50% ndo yetu (ujenzi)?

Nadhan ugomv wao ulianzia hapo, mana ukizingatia kipato cha wananch wanaochangishwa hapo ndo... !!!!!!!
 
Nilifikili kuwa cdm wanazuia wananchi wasichangie maendeleo.kumbe swala lililopo ni dc hazitaki sh3000/=.si wachangishe hizo kwanza.zisipotosha hizo fedha serekali inayokusanya kodi kutoka kwa wananchi haohao imalizie pale palipobaki.kuliko kutegemea kila kitu kifanywe na mwananchi ambae hakusanyi kodi yoyote.mbona kwenye mambo mengine wana tumia fedha nyingi sana kama kwenye sensa,katiba,chaguzi mbalimbali na zile wanazo zitorosha.naamini kuwa serekali ingekuwa inamkazo kama inavyo kazia mambo mengine na viongozi wake wakawa waaminifu maendeleo karibu yote yangefanywa pasipo kumuchangisha mwananchi hata hizo 3000 ambazo wanaziona ndogo.
 
3000 ndogo????aache upuuzi uyo,mbona sie tunalip 2500(Tunduma) na bd maendeleo yameonekana???wamekalia wizi tu hao,kama wanaubavu watoe report ya mapato na matumizi!!!😱😡

Pongezi kwa kamanda Mwakajoka (diwani chadema) kwa kuonyesha dira ya maendeleo. Maana hapa Tunduma tulikua hatupumui na 10,000/= huku maendeleo sifuri.!
 
Back
Top Bottom