Mbunge aitaka serikali kurudisha mafuvu

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Mbunge wa CCM jimbo la Kisarawe Bw. Selemani Jafo akizungumza leo bungeni kwa hisia kali ameitaka serikali kutoa maelezo ya kuridhisha na kuyarudisha mafuvu mawili iliyoyachukua ili yazikwe, pia ameitaka serikali kuwachukulia hatua kali askari wa wanyamapori waliohusika na mauaji hayo. Asikari hao waliwapiga risasi watu hao baada ya kuwatuhumu kuingia kwenye hifadhi ya msitu wa taifa na baadaye kuwachoma moto kwa kusudio la kupoteza ushahidi. Ni habari ya kusikitisha.
 
Back
Top Bottom