Mbunge Abbas Mtemvu apata ajali

rito

Member
Joined
Apr 13, 2009
Posts
80
Reaction score
9
Habari kutoka bungeni zinasema Mbunge wa TMK kapata ajali ya gari Ila hajaumia.
 
Alikuwa anatoka wapi? Alikuwa na gari lake au Basi la abiria? Alijiendesha mwenyewe?
 
Pole kwa wajeruhi, au vipi hali yao ikoje?
 
Awe mwangalifu na madereva na barabara zetu hizi. Na amshukuru Mungu kwani ni wachache sana wanaopata ajali bila kuumia
 
Duuh!ebwanaeee kuna kamati maalum inayohitaji uchaguzi mwingine nini,maana tanzania zaidi ya uijuavyo!thanks to god u'r safe mp.
 
Habari kutoka bungeni zinasema Mbunge wa TMK kapata ajali ya gari Ila hajaumia.

Kama hajaumia unaleta hii habari ya nin? Nilidhani kuna by election tujiandae!
 
Kama hajaumia! Siku ya ibada akatowe

sadaka ya kumshukuru MUNGU mwenye uwezo wa yote!
 
Nilitegemea kusikia R. I. P

Japo kifo siyo kizuri, na hakipendezi kuonwa wala kusikika, lakini kuna wakati namuomba Mungu awachukue wote wanaovaa sare za kujani na njano na kuonesha dole gumba....hata mimi nilitaka kusema R. I. P.....anyway....bado hazijafika, nilikuwa nataka uchaguzi mdogo TMK ili tupime M4C dar ipoje....
 
Angekufa tu M4C tukachukue jimbo. Anyway... 2015 si mbali.
 
Mi nilidhani uchaguzi mwingine mdogo aaaaaaaaaa basi bwana
 
Thought he's already deceased!! Glad the fat boy's alive!!
 
Ila hajaumia, kwa maana hiyo hii si habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…