KENNY ROGERS
Member
- Mar 2, 2012
- 6
- 1
Kama ni ishu ya rushwa kwa Mbunge wa CCM hii haina sifa ya kuwa breaking news
..mbona Sophia Simba alisema CCM wote wametumia rushwa??
Mbuge wa jimbo la muheza(CCM) leo amehojiwa na Taasisi ya kupambana na rushwa(TAKUKURU)kwa vitendo vyake ya rushwa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 .Na anatazamiwa kupandishwa kesho katika mahakama ya Wilaya kujibu tuhuma hizo.
rushwa 2010????? hawa Takukuru wameshuka leo toka mwezini au??????
rushwa 2010????? hawa Takukuru wameshuka leo toka mwezini au??????
tunte bana
rushwa 2010????? hawa Takukuru wameshuka leo toka mwezini au??????
Mkuu vipi tena huyo ni Tunte?
huyo ndiye Tunte mwenyewe