Mbu wa Muhimbili

Mbu wa Muhimbili

Niliwahi kukaa Kinondoni Moscow maeneo karibu na bonde ...ni hatari sana!! Kipindi hicho, hivyo sishangai mjadala huu.
 
Hawa wa hapa Muhimbili ni kama wamekuwa biologically modified kama sio specie tofauti na nyingine.

Mbu anatoboa hadi turubai..!!
Hao itakuwa washakaa sana bonde la Msimbazi, washakunywa sana sumu za mtoni hapo na masalia ya uchafu wa Breweries kutoka Ilala.

Wakitoka hapo lazima wawe kama wako genetically modified.
 
Mbu kama hao nakumbuka walikuwepo mtoni kijichi. Mpo bar inabidi muwashe dawa ya kuchoma iwekwe chini ya meza
 
Hawa wa hapa Muhimbili ni kama wamekuwa biologically modified kama sio specie tofauti na nyingine.

Mbu anatoboa hadi turubai..!!
Mh, basi hao wanazidi wa Rufiji ambao ni urefu wao ni kimo cha Mbuzi!
 
Jangwani kuna mazalia mengi na endelevu ya mbu, hayana msimu mazalia hayo.
 
Hao Mbu utadhani wamechanganyika na nyuki mi nilijua wanajamiiana na nyuki maana mbu wanafunua mpaka shuka wanakung'ata
 
Hao itakuwa washakaa sana bonde la Msimbazi,
Kuna wakati niliwahi kuwaza kuwa kuwa tuchimbue na kuzamisha kina cha mto

1. Msimbazi tuunganishe na Bahari kupitia pale Salender Bridge. Tujenge ukuta pale daraja la salender lenye Geti, maji yakija (kujaa) tuyaruhusu kuingia na ya kiondoka (kupwa) tunafunga hydro turbine ya kufua umeme hapo kwenye geti na tunafungulia maji yanaanza kuzungusha turbine na tunapata umeme rafiki kabisa.

2. Pia tunaweza kuyafungia huku huku juu bila kuyaruhusu maji hayo wakati wa kupwa , sasa mto uliosafishwa na wenye kina ukatumika katika utalii kwa kuweka boti humo watu wanazunguka kutoka salender, muhimbili, jangwani...tunaweza tukatanua hilo bonde mpaka kigogo...! NA hapa serikali ikapata ela ya kuboresha miradi ya maendeleo kwa watanzania wote.

3.Twaweza pia, kuhakikisha maji taka yote tunayapitisha kwenye bomba moja kubwa na yakamwagwa kilindini huko bahari, na hakuna mtu wala kiwanda kutupa taka kwenye mto huo bira kupitia bomba hili. sasa tukiwa na maji ya mto safi tunaweza kufuga samaki humo, tukawa na uhakika kabisa wa kitoweo safi.

Kupanga ni kuchagua.
 
hahaa yani hospitali ndio unaambukizwa maralia. sasa usalama upo wapi.
 
Hawa wa hapa Muhimbili ni kama wamekuwa biologically modified kama sio specie tofauti na nyingine.

Mbu anatoboa hadi turubai..!!
yani hao mazalia yao yangekuwa maeneo ya feri ingekuwa mzuka yani wanadrill qchwa cha mdau halafu watu tunafurahi
 
Nini kifanyike ili kuwatokomeza na kupungua/kuisha kabisa?
kuna 1.5 T ambayo inajulikana na 2 T ambayo ipo jaijulikani.
Ni political will tuu nakutokuwa greedy na selfish hao mbu siku moja tuu wanatokomea
 
Wewe utakuwa umesoma Azania au Tambaza bila shaka mkuu
Nakumbuka kipindi kile enzi za Ngozye alijaribu kupiga dawa lakini wapi..usiombe iwe siku yenu ya usafi class yaani ile asubuhi kuna mbu unaweza jaza gunia za kilo 100 mbaya zaidi ukifika forest hasa kule kitengo mawe mbu wanapiga misumali hadi mchana
 
Back
Top Bottom