Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mbunge wa jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe leo Jumatatu 18/07/2016 amefanya ziara katika kanisa la KKKT Usharika wa Nshara Machame Kilimanjaro ili kujionea Maendeleo ya ujenzi wa upanuzi wa kanisa hilo.