Mbowe ziarani jimboni kwake Hai

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Mbunge wa jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe leo Jumatatu 18/07/2016 amefanya ziara katika kanisa la KKKT Usharika wa Nshara Machame Kilimanjaro ili kujionea Maendeleo ya ujenzi wa upanuzi wa kanisa hilo.
 
Attachments

  • IMG-20160718-WA0055.jpg
    IMG-20160718-WA0055.jpg
    90.1 KB · Views: 41
  • IMG-20160718-WA0054.jpg
    IMG-20160718-WA0054.jpg
    90.5 KB · Views: 39
Aanzishe maandamano na huko kwao kwenye wanachadema wengi waliomchagua, na si kuleta vurugu Kahama , Hai ati anakagua maendeleo.
 
Kweli kamanda wa anga! Naona Lumumba wakitafuta masufuria kupika majungu
 
Mbunge wa jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe leo Jumatatu 18/07/2016 amefanya ziara katika kanisa la KKKT Usharika wa Nshara Machame Kilimanjaro ili kujionea Maendeleo ya ujenzi wa upanuzi wa kanisa hilo.
Mkuu jamaa wamepagawa ..hawana jinsi , wanakufa na tai shingoni ...Lumumba patakuwa hapafikiki
Kama mnavyowewe seka Dodoma
 
Vipi mbona hajafanya maandamano sasa ??

Jimbo la Hai anakagua maendeleo alafu Maandamano anaenda kufanyia jimbo la Kahama!!

Mbowe uache hii tabia ,hata sisi Hai tunataka maandamano
 
Nasubiri kusikia akiitisha maandamano uchagani
Wakati hapo mtera kwa lusinde watu wanajiandaa kutafuta mabakuli ya kwenda barabarani kuomba,huku hai watu wanajianda kusafirisha mboga kwenda kuuza nje ya nchi waendelee kujenga nyumba bora na kusomesha watoto wao ,huyo ndo Mbowe...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom