Ng'azagala
JF-Expert Member
- Jun 7, 2008
- 1,288
- 222
nani amefanya huu utafiti????????
Aliye weka ndo kafanya utafiti au wewe unasubiri wa REDET na kina nani sijui wale
tusiwe tunadanganyana hapa CHADEMA inapata umaarufu kwa sababu ya Dr. Slaa na si Mbowe
huyu Mbowe alishakuwepo huko nyuma na akagombea na Uraisi hakuwa na msisimko wowote.
wewe fikiria CDM bila Dr Slaa - ndiyo itakuwa mwisho wake!
better kulinganisha JK na Dr. Slaa kidogo itaeleweka na si vinginevyo
otherwise JK is better
tusiwe tunadanganyana hapa CHADEMA inapata umaarufu kwa sababu ya Dr. Slaa na si Mbowe
huyu Mbowe alishakuwepo huko nyuma na akagombea na Uraisi hakuwa na msisimko wowote.
wewe fikiria CDM bila Dr Slaa - ndiyo itakuwa mwisho wake!
better kulinganisha JK na Dr. Slaa kidogo itaeleweka na si vinginevyo
otherwise JK is better
tukiachana na uraisi wa kikwete na biashara binafsi za mbowe. Ni nani kati ya hawa wawili ni mwenyekiti bora katika chama chake?
vigezo vya kuzingatia;
- utawala bora
- uadilifu
- uwajibikaji
- ubunifu
- juhudi binafsi za kuendeleza chama
- uzalendo. wana jamii forum toeni maoni yenu kwa kuzingatia vigezo hivyo ili kwa pamoja tufahamu ni nani mwenyekiti bora wa chama chake.
Huwezi kufananisha Chama chenye umri wa miaka 10 na ushee na chama chenye zaidi ya miaka 50 . Na ukizingatia kuwa chama chenye umri mrefu ni kikubwa na kinaongoza nchi , wakati hiki kingine ni under dog na kinajikongoja na kichanga.
Uongozi unapimwa kwa outcomes, kama production inazidi kupungua kwenye kampuni yako wewe si kiongozi bora, kama
CCM ameporomoka toka 80% - 60% ya kura, wabunge toka 300 - 250, ruzuku toka 1.2bil - 800mil
wakati CDM imetoka 5% - 29% ya kura, wabunge 11 - 50 na ruzuku mil.60 - mil.200
yupi unadhani ni kiongozi bora.
nimeipenda hii mkuu!I like Kikwete personality but he is not talented at all. He is not a strong leader, He is not smart enough and he is not serious leader. Kikwete is a cham leader a person you can drink a beer with.
Udhaifu wa JK ni upi? Mnakumbuka ujambazi na unyang'anyi wa kutumia silaha ulivyokuwa umetamalaki wakati Ben anatoka na JK anaingia madarakani? Mabenki, makampuni na watu majumbani walikuwa wanavamiwa mchana kweupee. Mnakosea kutokumbuka hata jema moja la JK.