masingo sharili
Member
- Mar 18, 2011
- 63
- 12
Mh! Ya leo kali!!tukiachana na uraisi wa kikwete na biashara binafsi za mbowe. Ni nani kati ya hawa wawili ni mwenyekiti bora katika chama chake?
vigezo vya kuzingatia;
- utawala bora
- uadilifu
- uwajibikaji
- ubunifu
- juhudi binafsi za kuendeleza chama
- uzalendo. wana jamii forum toeni maoni yenu kwa kuzingatia vigezo hivyo ili kwa pamoja tufahamu ni nani mwenyekiti bora wa chama chake.
Mkuu mbona kama unafananisha kifo na usingizi au mbio za farasi na kinyonga au tope na gundi?
Kikwete is of no match to Mbowe as he has totally failed to immobilize CCM members under his leadership and instead, within five years of his leadership as the CCM Party Chairman the party has totally disintegrated and is now doomed to die anytime from now.tukiachana na uraisi wa kikwete na biashara binafsi za mbowe. Ni nani kati ya hawa wawili ni mwenyekiti bora katika chama chake?
vigezo vya kuzingatia;
- utawala bora
- uadilifu
- uwajibikaji
- ubunifu
- juhudi binafsi za kuendeleza chama
- uzalendo. wana jamii forum toeni maoni yenu kwa kuzingatia vigezo hivyo ili kwa pamoja tufahamu ni nani mwenyekiti bora wa chama chake.
I like Kikwete personality but he is not talented at all. He is not a strong leader, He is not smart enough and he is not serious leader. Kikwete is a cham leader a person you can drink a beer with.
Mkuu mbona kama unafananisha kifo na usingizi au mbio za farasi na kinyonga au tope na gundi?
tukiachana na uraisi wa kikwete na biashara binafsi za mbowe. Ni nani kati ya hawa wawili ni mwenyekiti bora katika chama chake?
vigezo vya kuzingatia;
- utawala bora
- uadilifu
- uwajibikaji
- ubunifu
- juhudi binafsi za kuendeleza chama
- uzalendo. wana jamii forum toeni maoni yenu kwa kuzingatia vigezo hivyo ili kwa pamoja tufahamu ni nani mwenyekiti bora wa chama chake.
NAJIBU KWA ASILIMIA NA KUONYESHA MAONI
KIGEZO
MH. KIKWETE (1)
MH. MBOWE (2)
MAONI
50%
- utawala bora
70%
- UFISADI BADO UNAENDELEA
- MAMLUKI WAPO
50%
- uwajibikaji
80%
- DOWANS HAISHUGHULIKIWI
100%
- ubunifu
100%
- KILA MTU MSEMAJI
- NGUVU YA UMMA
100%
- juhudi binafsi za kuendeleza chama
100%
- WATU WACHACHE WATOE DIRA
- NGUVU YA UMMA IAMUE
100%
- uzalendo.
100%
- KAPITIA JKT
- KAPITIA JKT
100%
- uadilifu
100%
- ANARUHUSU KUSIKILIZA WAONGO
- ANARUHUSU UMMA USEME
Utawala bora:
Kikwete 10% kwa kuvumilia siasa za wengine lakini ni fisadi na ushahidi pesa za EPA, Dowans, safari za nje zisizo na tija na kutumia mali ya uma kwa shughuli za familia mfano. mkewe kutumia ndege ya serikali.
Mbowe 80% kwa kuongza chama chake vizuri na kutatua migogoro ndani ya chama mpaka chama kukua na kuongeza wabunge, mabaya ni kibinadamu.
Uadilifu:
Kikwete asilimia 50%, mbowe 55% wote karibu wanafanana.
Uwajibikaji:
kikwete 20%, mbowe 78% kwa kipindi cha miaka 10 uwajibikaji umezaa matunda lakini kumekuwepo na udhaifu mkubwa kwenye CCM na serikali yake chini ya kiwete
Ubunifu:
Mbowe 90% , Kikwete 0% hajui hata kwa nini sisi masikini na kakiri kwamba hana suluhisho katika hilo twenende tu hajui aipeleke wapi nchi hii,
Juhudi binafsi:
mbowe 90%, Wenyewe mashahidi; kikwete 10% chama kinabobomoka
Uzalendo:
Kikwete 10% hana hata tone la uzalendo kwake ingekuwa heri aishi Marekani kuliko Tanzania; Mbowe 90% ana uchungu na nci yake na siku zote amekuwa mstari wa mbele kupigania uhuru, haki na maendeleo ya nchi yake
:lol:
I like Kikwete personality but he is not talented at all. He is not a strong leader, He is not smart enough and he is not serious leader. Kikwete is a cham leader a person you can drink a beer with.
nani amefanya huu utafiti????????
Kama wewe ambaye naku regard angalau umesoma kidogo unawaza haya vipi wanaoshinda kutwa nzima wakipalilia magimbi, nimeanza kuamini safari bado ni ndefu tutamzeesha bure Dr. wa ukweli.I like Kikwete personality but he is not talented at all. He is not a strong leader, He is not smart enough and he is not serious leader. Kikwete is a cham leader a person you can drink a beer with.
So nimeanza kujua kwamba alipata kura za watu wa aina gani!