Hii ni dhana yako tu nenda field upate uhalisia
Watanzania wengi wanaipenda Ccm
Hapa una support mtu anaesema siasa ni mchezo wa akili, hata kujiangusha kwenye penalty ni sawa, bora ushindi!Kunywa kinywaji chochote kwa gharama yangu, bill niPM. Ukweli ni kuwa Lissu kwa sasa ndio anaweza kubeba matakwa yetu, ana uwezo wa kuhamisha kuhusu tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, na akaeleweka. Hao wengine ni sawa, ila sio kwa nafasi ya urais. Tuko radhi atolewe kugombea kwa mbinu chafu, lakini sio kubeba wagombea dhaifu. 2015 hatukuwa na mgombea, bali mchezaji wa mkopo, hata hii 2020 tukikosa mgombea kwa hujuma hatutajali. Tunamtaka Lissu fullstop.
Mnapenda sana kujidanganya na hicho kikundi chenu cha wajuaji, mna ushabiki fulani wa kitoto hivi, bahati mbaya mambo huwa hayaendi hivyo, siku zote taratibu lazima zifuatwe, sijui mnatetemeka nini mpaka mnaleta habari za uchaga!
Hapa una support mtu anaesema siasa ni mchezo wa akili, hata kujiangusha kwenye penalty ni sawa, bora ushindi!
Kumbe hata CCM wakitumia tume hii iliyopo kupata ushindi tusiwalaumu, sijui huwa mnapiga kelele za tume huru za kazi gani!.
Nimeshawazoea na ujuaji wako na wenzio, narudia tena mna kakikundi kenu cha wajuaji kanachoeneza chuki kwa Mbowe, halafu mnajidai kuegemea uhuru wenu wa kutoa maoni.Sina kikundi wala siko na mtu yoyote hapa jukwaani, wote nawakutia humu humu, labda ww ndio uko na kikundi fulani, sasa hilo sio kosa langu bali ni lako. Sijawahi kushabikia siasa za kikabila, na hata hivyo mimi sio mchaga, usinilishe maneno tafadhali. Ukweli uko wazi, wanacdm wote wanaweza kuchukua fomu ya kugombea urais maana ni haki yako. Na pia sina tatizo lolote na utaratibu kufuatwa. Ila ni ukweli usioacha shaka kuwa Lissu ndio zaidi ya wote pamoja na mapungufu yake. Hivyo niko huru kusema chochote ninachokiona bila kuzuiwa na mtu yoyote.
Mwaka 2015 tuliletewa mgombea wa kubumba toka ccm, na akahama maana alikitumia cdm kama mpira wa kiume, lakini waliomleta hawakuwajwajibika kwa dhahama ile. Kwakuwa tulikalia kimya uhuni ule, safari hii acha tuwe wa wazi kabisa, kuwa mgombea asiyefaa tunatoa maoni yetu wazi wazi. Kwahiyo jazba kwakuwa unayemtaka hatumkubali hilo halitakusaidia chochote. Halafu ninakuheshimu, jitahidi kutumia lugha ya kistaarabu, kusema tuna ushabiki wa kitoto kisa hatumuungi mkono unayemtetea sio sawa. Usitake nikufungulie lugha chafu mpaka ukiona hii Id utie akili. Jitahidi kuwa mvumilivu kwenye demokrasia tafadhali.
Nimechagua kipengele kimoja kwasababu sina muda wa kupotezea hapo, upeo wako ndio umeishia kuona kimoja, mimi nimeviona kibao, na hata huyo alieandika hizo pumba zake nilijaribu kum-challenge akaishia kupotea tu na mwenzake, sasa nakushangaa wewe unaejaribu kutetea kitu alichoshindwa mwandishi aliekileta!.Inaonekana umebeba mistari kadhaa ndio unajifichia humo. Zaidi ya 90% ya maoni yake yako vizuri. Hata kama hatapata Excellent, lakini very good inamuhusu. Ukiamua kuingia kwenye demokrasia, jitahidi kuwa mvumilivu, lakini ukija na jicho la mahaba niue utapata tabu sana. Halafu isitoshe ww sio mwalimu, useme uko na marking scheme namna washabiki wa cdm wanavyopaswa kutoa maoni yao. Sina popote ninapounga mkono tume hii ya uchaguzi, acha tu kutokuiunga mkono, hata kushiriki uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi sikubaliani na hali hiyo.
Nimeshawazoea na ujuaji wako na wenzio, narudia tena mna kakikundi kenu cha wajuaji kanachoeneza chuki kwa Mbowe, halafu mnajidai kuegemea uhuru wenu wa kutoa maoni.
That's fake.
Habari ya miaka 10 wachana nayo haina maana, hiyo demokrasia yenu ya kulazimisha awe Lissu ndio demokrasia ya wapi? vipi kina Msigwa na wengine...kipi kinachowashinda kusubiri vikao vya chama viamue? mnataka kuchezea akili ya nani? hamna mnalojua nyie ni wakurupukaji tu.Sina popote ninapoeneza chuki dhidi vya Mbowe bali natoa maoni yangu kidemokrasia. Mimi msimamo wangu uko wazi kuwa siamini kiongozi yoyote kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Hapa haijalishi ni Mbowe au yoyote yule. Ninaposema kuwa Mbowe hastahili kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi naongozwa na kile ninachokiamini, bila kujali kuna nitakaofanana nao mawazo au la, na hii ndio demokrasia. Sasa unaposema kuwa naeneza chuki au tunaeneza chuki sijui unamaanisha nini.
Unapoamua kufuata demokrasia jitahidi kuifuata, lakini sio kuleta jazba kwa kuingia kwenye demokrasia usiyojua kanuni zake. Kama una maslahi binafsi na Mbowe, hilo sio tatizo langu/letu bali ni lako. Mimi nikisema Mbowe hafai kuwa rais, bali Lisu ndio anayefaa naeneza chuki gani? Ni wapi nimeeneza chuki kwa kuweka msimamo wangu wazi?
Nimechagua kipengele kimoja kwasababu sina muda wa kupotezea hapo, upeo wako ndio umeishia kuona kimoja, mimi nimeviona kibao, na hata huyo alieandika hizo pumba zake nilijaribu kum-challenge akaishia kupotea tu na mwenzake, sasa nakushangaa wewe unaejaribu kutetea kitu alichoshindwa mwandishi aliekileta!.
Habari ya mahaba niue ni hoja mfu mliyoizoea, mnajidai mna uhuru wa kutoa maoni kwa kumchafua Mbowe, no one will ever let you guyz, Mbowe hastali kuwa treated the way mnamfanyia, never.
Una maandishi mengi sana, next time andika kwa ufupi; but one thing, go tell hao wenzio next time kama kuna mwana kikundi huko hana cha kuandika humu asilazimishe, waambie vizuri wakusikie, if they dont hav anything concrete to write, tell them to shut up.Sasa kama umechukua kipengele kimoja ambacho hakikufarihishi, kwangu naona hivyo vingine umevikwepa maana havikidhi matamanio yako, na wala sio kuwa unaoongozwa na demokrasia. Halafu sisi sio wafuasi wa Mbowe, bali washabiki wa cdm, jitahidi kupigania taasisi na sio mtu. Nimejikuta najadili huyo member maana maoni yake, maana kwangu kwa kiasi kikubwa yamekidhi ukweli niutakao, na sio ukweli unaoutaka wewe, lakini kwakuwa huyo member ana maoni ambayo hayakufurahishi ww, ndio maana unaanika jazba hapa.
Narudia tena acha mambo ya mahaba niue. Naheshimu mchango wa Mbowe ndani ya cdm, lakini sina maslahi yoyote binafsi na yeye. Hivyo mimi kutumia haki yangu ya kidemokrsia sio kumvunjia Mbowe heshima. Usitake kujifanya una uchungu sana na Mbowe, kiasi utake kupotosha kuwa ninamchafua. Kama unaweza usinichanganye na yoyote, nitajie ni wapi nimemchafua Mbowe zaidi ya kusema hafai kwa nafasi ya urais,na sababu za msingi ninazo, tena za kidemokrasia kabisa.
Mada za ukabila hizi hovyo kabisa. Eti wachaga mtamkataa, mkiambiwa chadema ni Cha kikabila mnapinga Sasa umejisahau unasema hata wachaga mtamkataa kwani hiki ni chenu wachaga pekee yenu?Kama utang'ang'ania kuwania Urais, unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupinga kuwa haikuwa sahihi, sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.
Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kura laki 6; huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika au mwanamke, lakini sio wewe zama zako zimepita.
Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi Wachagga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia CCM sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
Una maandishi mengi sana, next time andika kwa ufupi; but one thing, go tell hao wenzio next time kama kuna mwana kikundi huko hana cha kuandika humu asilazimishe, waambie vizuri wakusikie, if they dont hav anything concrete to write, tell them to shut up.
Hakuna mwenye haki ndani ya Chadema zaidi ya mwingine, wote wako sawa, ndio maana now kuna utulivu, muache vikao viamue muda utakapofika, atakaekubalika kwa wajumbe apewe nafasi, hizi kelele zenu huku hazitawasaidia chochote.
Mkuu Technicall ulianza vizuri Ila uliko malizia ndio ukaharibu zaidi, hii nchi yetu ni ya makabila yote, na tukitaka kumchagua mtu awe kiongozi wetu sifa ambayo haina maana na ya kijinga kabisa ni ya ukabilaKama utang'ang'ania kuwania Urais, unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupinga kuwa haikuwa sahihi, sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.
Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kura laki 6; huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika au mwanamke, lakini sio wewe zama zako zimepita.
Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi Wachagga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia CCM sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
Kumbe ulikuwa unawajibu wengine, nilidhani mimi!.Huku ni kwenye mitandao ya kijamii huwezi kumpangia yoyote cha kujadili, na namna ya kujadili. Rudi kwenye mikutano yenu ya chama humo ndio kuna utaratibu wa kujadili mnachokipenda. Ukiona mtu anaandika Mambo mengi ambayo hayakufarishi, jitahidi kuvumilia au potezea. Lakini kwa MB zetu huwezi kutupangia, ili miradi hatuvunji sheria za jukwaa. Habari ndio hiyo boss.
Kumbe ulikuwa unawajibu wengine, nilidhani mimi!.
Sorry.
Wasalimie wana kikundi, bado namtafuta anaejielewa huko nione hoja zake, wengine wote wakurupukaji tu.Hilo utajua ww.
Naam; 2015 tulikuwa na mchezaji wa mkopo japo hatupaswi kubeza mchango wake.Kunywa kinywaji chochote kwa gharama yangu, bill niPM. Ukweli ni kuwa Lissu kwa sasa ndio anaweza kubeba matakwa yetu, ana uwezo wa kuhamisha kuhusu tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, na akaeleweka. Hao wengine ni sawa, ila sio kwa nafasi ya urais. Tuko radhi atolewe kugombea kwa mbinu chafu, lakini sio kubeba wagombea dhaifu. 2015 hatukuwa na mgombea, bali mchezaji wa mkopo, hata hii 2020 tukikosa mgombea kwa hujuma hatutajali. Tunamtaka Lissu fullstop.
Mkuu kwenye msimamo huu tuko pamoja, yale mambo ya 2015 hayatasahaulika kamwe, cdm waki-ignore na wakamleta mgombea mwingine tofauti na Lissu basi kitashindwa vibaya kulikowakati wowote ule iliyoshiriki uchaguzi mkuu.Sina kikundi wala siko na mtu yoyote hapa jukwaani, wote nawakutia humu humu, labda ww ndio uko na kikundi fulani, sasa hilo sio kosa langu bali ni lako. Sijawahi kushabikia siasa za kikabila, na hata hivyo mimi sio mchaga, usinilishe maneno tafadhali. Ukweli uko wazi, wanacdm wote wanaweza kuchukua fomu ya kugombea urais maana ni haki yako. Na pia sina tatizo lolote na utaratibu kufuatwa. Ila ni ukweli usioacha shaka kuwa Lissu ndio zaidi ya wote pamoja na mapungufu yake. Hivyo niko huru kusema chochote ninachokiona bila kuzuiwa na mtu yoyote.
Mwaka 2015 tuliletewa mgombea wa kubumba toka ccm, na akahama maana alikitumia cdm kama mpira wa kiume, lakini waliomleta hawakuwajwajibika kwa dhahama ile. Kwakuwa tulikalia kimya uhuni ule, safari hii acha tuwe wa wazi kabisa, kuwa mgombea asiyefaa tunatoa maoni yetu wazi wazi. Kwahiyo jazba kwakuwa unayemtaka hatumkubali hilo halitakusaidia chochote. Halafu ninakuheshimu, jitahidi kutumia lugha ya kistaarabu, kusema tuna ushabiki wa kitoto kisa hatumuungi mkono unayemtetea sio sawa. Usitake nikufungulie lugha chafu mpaka ukiona hii Id utie akili. Jitahidi kuwa mvumilivu kwenye demokrasia tafadhali.