Mbowe unatuchanganya, kumjumuisha Zitto baraza Kivuli sikubaliani nawe hata kidogo

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12670067_1035077689890022_4929026180482865965_n.jpg
 
bunge hata tbc fm unaweza kusikiliza au star tv pia wanaonyesha kama pia umepata mda wa kuupload huo upuuzi pitia pitia humu jukwaani utaona baraza kivuli la mawaziri.
 
List hii hapa, Jina la Zitto halimo!
====================
Ofisi ya Rais
- TAMISEMI
Waziri - Jafarry Michael

- Utumishi
Waziri - Lucy Mollel

Ofisi ya Makamu wa Rais
- Muungano

Waziri - Ali saleh A. Ali

Ofisi ya Waziri Mkuu
- Bunge, kazi na ajira

Waziri - Esther Bulaya

- Fedha,Sera na mipango
Waziri - Halima Mdee
Naibu - Silinde

- Uchukuzi
Waziri - Injinia Mbatia
Naibu - Willy Kambalo

- Nishati na madini
Waziri - John Mnyika
Naibu- John Heche

- Mambo ya nje
Waziri - Peter Msigwa

Kilimo
Waziri - Magdalena Sakaya

Ulinzi

Waziri - Juma Hamad Omar
Naibu - Waitara

- Mambo ya ndani
Waziri - Godbless Lema

- Ardhi
Waziri - Wilfred Lwakatare

- Maliasili na utalii
Waziri - Esta Matiko
Naibu - Pareso

- Viwanda
Waziri - Kalist Komu

- Elimu
Waziri - Suzan Lyimo

- Afya
Waziri - Dk. Godwin Mollel

- Habari
Waziri - Joseph Mbilinyi
Naibu - Devota Minja

- Maji
Waziri - Hasan Bobali
Naibu - Peter Lijualikali

- Katiba na sheria

Waziri - Tundu Lissu
 
Tuelewe kuwa hata kama Mbowe ndio katangaza lakini lazima ni kwa mashauriano na wenzake
 
Back
Top Bottom