Yapi hayo?Au mnafikiri kujenga nchi ni flyover na barabara huku hali za watu zikiwa mbaya?Jiwe alipaswa kuwa Nyampara wa barabara na sio Rais wa nchi!anajua hawez kushinda wanayo nadi ndo yanafanywa na magufuli sasa anatafakir sanaa
Hujaridhika na uliyoandika mpaka uwe wa kwanza kujijibu?Unachotakiwa kufanya Mbowe ni kubadili gia angani [emoji3]
Maendeleo ya taifa sio la raia kuwa na hela mfukoni mkuu.Yapi hayo?Au mnafikiri kujenga nchi ni flyover na barabara huku hali za watu zikiwa mbaya?Jiwe alipaswa kuwa Nyampara wa barabara na sio Rais wa nchi!
Mbowe anajiamini sana, anatuma ujumbe kwenu na yule Sabaya kwamba Hai ni mali yake, ameacha kujifanyia kampeni jimboni kwake anazunguka na Lissu mikoani, naamini anajua Hai ni nyumbani kwake hivyo hatishwi na yeyote, atafanya kampeni hata wiki mbili na atashinda.
Kusema Lissu hauziki ni upofu wa macho na akili.