Mbowe, Uliyosema ni ya kweli?

Mbowe, Uliyosema ni ya kweli?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,638
Reaction score
49,048
Hivi majuzi katika ufunguzi wa chaguzi za baraza la wanawake Chadema, KUB, Bw, Mbowe alitoa wasaa na nina mnukuu;

" ili kuwa na nchi yenye maendeleo, tunahitaji kuwa na taasisi imara za kidemokrasia, tusitumie muda na nguvu kuzibomoa, bali kuzijenga"

Nakiri kuwa hii ni kauli komavu kabisa ya kisiasa toka kwa mwenyekiti wa chadema, nampongeza kwa hilo.

Baada ya pongezi hizo, najikita kwenye lengo kuu la kujadili kauli hiyo,

Si kazi rahisi, nakiri kabisa, kujenga taasisi imara inayohusisha watu zaidi ya mmoja, ukizingatia kuwa watu hao, wana imani zao, vipato tofauti, uwezo tofauti wa kutazama mambo, malengo na matarajio pia, hivyo inahitajika busara ya hali ya juu kabisa kuhakikisha hayo yote yanafanikiwa chini ya mwavuli wa taasisi hiyo.

Naguswa kusema kwamba kauli aliyoitoa bwana mbowe haiendani na matendo halisi na picha tunayoiona sisi wananchi kwa kuangalia mwenendo mzima wa Chama anachokiongoza.

Waingereza wanasema " Charity Starts at Home" Bwn. Mbowe unaitimiza vipi kauli yako kulingana na msemo huu wa waungwana hawa.

Katika vipindi tofauti tumekuwa tukisikia malalamiko mbali mbali toka kwa baadhi ya wanachama na waliowahi kushika nafasi za uongozi ndani ya chama kuwa, ndani ya chama kuna siasa za kikanda, kikabila na kidini....tumeona baadhi , wakijiuzulu nyadhifa zao na wengine kuondolewa nyadhifa zao kwa tuhuma za usaliti...

Tuhuma hizo za usaliti zimekuwa zikiibuliwa mara baada ya wahusika kuhoji baadhi ya mambo na mienendo ndani ya chama, tuna mifano hai ya hayo...yaliyowakuta sote tunayajua...

Kuna makelele ya wanachama kuhusiana na kutokuwepo na ukomo wa muda wa kugombea kwa nafasi za uenyekiti na nyinginezo za juu katika chama.....agenda ya hili ni ipi....

sidhani kama kuwa mwenyekiti wa milele, au kuwa katibu wa milele katika chama ndio kujenga taasisi imara ya kidemokrasia, nahisi ni tofauti..

kuhodhi madaraka kwa muda mrefu, ni kubomoa taasisi ambayo ulitumika muda kuijenga, bila wasiwasi wanachama wataanza kuingiwa hofu na kuhisi kuwa taasisi fulani ni kwa ajili ya watu flani.....

NI imani yangu kwamba, lengo kuu la kuanzishwa kwa chadema ilikuwa ni kufanya yale ambayo waanzilishi waliona yakifanyika na wengine katika hali ya kimakosa, hivyo kujaribu kurekebisha....

Taifa, ili likue, linahitaji kuwa na watu walio katika taasisi shindani huru na zenye tija...malengo ikiwa ni kupeana changamoto za kimaendeleo na si zaidi ya hapo..

Ni imani yangu kwamba taasisi zote za kidemokrasia , ikijumuishwa na chadema, zitakuwa taasisi huru, na imara zisizo na mawaa.

Nawasilisha.
====================

Bonyeza hapa chini kusikiliza alichokisema Freeman Mbowe

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=184543&d=1410432197[/JFMP3]
 
Unaonesha uelewa wenye makengeza ndugu.
Taasisi sio mtu mmoja mmoja,ni jumuiko.Hao unaosema wameshughulikiwa kwa usaliti,ni individuals,sio taasisi za kidemokrasia.
Chadema haibomoi bali inajenga na kuimarisha zilizopo.
BAVICHA,BAWACHA,Baraza la Wazee na Chadema Toto(hii ni mpya) ni baadhi ya taasisi za kidemokrasia ndani ya chadema.
Hivyo nakuasa uendee kumpongeza Mbowe kwa kauli yake imara anayoishii ndani ya chama chake.
 
alisema kweli,sasa mie nawashangaa watu wajinga ambao hawajui kuwa wanaichangia chadema,si kupitia kodi tunapata ruzuku
 
Hivi majuzi katika ufunguzi wa chaguzi za baraza la wanawake Chadema, KUB, Bw, Mbowe alitoa wasaa na nina mnukuu;

" ili kuwa na nchi yenye maendeleo, tunahitaji kuwa na taasisi imara za kidemokrasia, tusitumie muda na nguvu kuzibomoa, bali kuzijenga"

Nakiri kuwa hii ni kauli komavu kabisa ya kisiasa toka kwa mwenyekiti wa chadema, nampongeza kwa hilo.

Baada ya pongezi hizo, najikita kwenye lengo kuu la kujadili kauli hiyo,

Si kazi rahisi, nakiri kabisa, kujenga taasisi imara inayohusisha watu zaidi ya mmoja, ukizingatia kuwa watu hao, wana imani zao, vipato tofauti, uwezo tofauti wa kutazama mambo, malengo na matarajio pia, hivyo inahitajika busara ya hali ya juu kabisa kuhakikisha hayo yote yanafanikiwa chini ya mwavuli wa taasisi hiyo.

Naguswa kusema kwamba kauli aliyoitoa bwana mbowe haiendani na matendo halisi na picha tunayoiona sisi wananchi kwa kuangalia mwenendo mzima wa Chama anachokiongoza.

Waingereza wanasema " Charity Starts at Home" Bwn. Mbowe unaitimiza vipi kauli yako kulingana na msemo huu wa waungwana hawa.

Katika vipindi tofauti tumekuwa tukisikia malalamiko mbali mbali toka kwa baadhi ya wanachama na waliowahi kushika nafasi za uongozi ndani ya chama kuwa, ndani ya chama kuna siasa za kikanda, kikabila na kidini....tumeona baadhi , wakijiuzulu nyadhifa zao na wengine kuondolewa nyadhifa zao kwa tuhuma za usaliti...

Tuhuma hizo za usaliti zimekuwa zikiibuliwa mara baada ya wahusika kuhoji baadhi ya mambo na mienendo ndani ya chama, tuna mifano hai ya hayo...yaliyowakuta sote tunayajua...

Kuna makelele ya wanachama kuhusiana na kutokuwepo na ukomo wa muda wa kugombea kwa nafasi za uenyekiti na nyinginezo za juu katika chama.....agenda ya hili ni ipi....

sidhani kama kuwa mwenyekiti wa milele, au kuwa katibu wa milele katika chama ndio kujenga taasisi imara ya kidemokrasia, nahisi ni tofauti..

kuhodhi madaraka kwa muda mrefu, ni kubomoa taasisi ambayo ulitumika muda kuijenga, bila wasiwasi wanachama wataanza kuingiwa hofu na kuhisi kuwa taasisi fulani ni kwa ajili ya watu flani.....

NI imani yangu kwamba, lengo kuu la kuanzishwa kwa chadema ilikuwa ni kufanya yale ambayo waanzilishi waliona yakifanyika na wengine katika hali ya kimakosa, hivyo kujaribu kurekebisha....

Taifa, ili likue, linahitaji kuwa na watu walio katika taasisi shindani huru na zenye tija...malengo ikiwa ni kupeana changamoto za kimaendeleo na si zaidi ya hapo..

Ni imani yangu kwamba taasisi zote za kidemokrasia , ikijumuishwa na chadema, zitakuwa taasisi huru, na imara zisizo na mawaa.

Nawasilisha.

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=184543&d=1410432197[/JFMP3]

Mkuu Stroke una haki ya kuuliza na pia kujua haya mambo: Ukichukulia kwa nchi ambazo demokrasia yao haikuingiwa na wazimu kama hapa nchini basi nafikiri swala lako ni la msingi kabisa. Lkn ndugu yangu katika demeokrasia ya hapa TZ umeiona wewe mwenyewe. Chama tawala kinatumia dola na kila siraha kuhakikisha vyama vya upinzani vinakufa!! Hii haina siri tatizo kubwa kati ya wataufuta mabadirko ya kweli ni kuwa baadhi yao wana njaa! I am sorry to say that lkn ni ukweli mtupu. Kwa maana hii ninakubaliana na mhs Mbowe pamoja na Dr. Slaa hiki chama kukiongozo kwa muda mwingine ili kuvuka hali hii ya visiki vilivyowekwa na chama tawala. Wengi ni rahisi kusema kuwa mimi nataka kuwa mwenyekiti ili ........ Lakini kumbuka kuwa private sectors zinaendelea kuzalisha na kuwa na mafanikio kuliko public sectors kwa sababu moja kuu: Huyu wa private sector anajua ametafuta mtaji na kuinvest na inabidi asimamie vizuri ili apate matunda. Lkn huyu wa public sector (mashirika ya umma) he doesn't care much about that kwani mwisho wa mwezi atapata mshahara wake. Hivyo Mhs Mbowe una haki ya kuongoza hiki chama mpaka kivuke visiki vilivyowekwa na serikali ya chama tawala. Hata walie hakuna jinsi Mhs Mbowe bado unahitajika, na yule ambaye anakataa ana ajenda zake za siri.
 
Hivi majuzi katika ufunguzi wa chaguzi za baraza la wanawake Chadema, KUB, Bw, Mbowe alitoa wasaa na nina mnukuu;

" ili kuwa na nchi yenye maendeleo, tunahitaji kuwa na taasisi imara za kidemokrasia, tusitumie muda na nguvu kuzibomoa, bali kuzijenga"

Nakiri kuwa hii ni kauli komavu kabisa ya kisiasa toka kwa mwenyekiti wa chadema, nampongeza kwa hilo.

Baada ya pongezi hizo, najikita kwenye lengo kuu la kujadili kauli hiyo,

Si kazi rahisi, nakiri kabisa, kujenga taasisi imara inayohusisha watu zaidi ya mmoja, ukizingatia kuwa watu hao, wana imani zao, vipato tofauti, uwezo tofauti wa kutazama mambo, malengo na matarajio pia, hivyo inahitajika busara ya hali ya juu kabisa kuhakikisha hayo yote yanafanikiwa chini ya mwavuli wa taasisi hiyo.

Naguswa kusema kwamba kauli aliyoitoa bwana mbowe haiendani na matendo halisi na picha tunayoiona sisi wananchi kwa kuangalia mwenendo mzima wa Chama anachokiongoza.

Waingereza wanasema " Charity Starts at Home" Bwn. Mbowe unaitimiza vipi kauli yako kulingana na msemo huu wa waungwana hawa.

Katika vipindi tofauti tumekuwa tukisikia malalamiko mbali mbali toka kwa baadhi ya wanachama na waliowahi kushika nafasi za uongozi ndani ya chama kuwa, ndani ya chama kuna siasa za kikanda, kikabila na kidini....tumeona baadhi , wakijiuzulu nyadhifa zao na wengine kuondolewa nyadhifa zao kwa tuhuma za usaliti...

Tuhuma hizo za usaliti zimekuwa zikiibuliwa mara baada ya wahusika kuhoji baadhi ya mambo na mienendo ndani ya chama, tuna mifano hai ya hayo...yaliyowakuta sote tunayajua...

Kuna makelele ya wanachama kuhusiana na kutokuwepo na ukomo wa muda wa kugombea kwa nafasi za uenyekiti na nyinginezo za juu katika chama.....agenda ya hili ni ipi....

sidhani kama kuwa mwenyekiti wa milele, au kuwa katibu wa milele katika chama ndio kujenga taasisi imara ya kidemokrasia, nahisi ni tofauti..

kuhodhi madaraka kwa muda mrefu, ni kubomoa taasisi ambayo ulitumika muda kuijenga, bila wasiwasi wanachama wataanza kuingiwa hofu na kuhisi kuwa taasisi fulani ni kwa ajili ya watu flani.....

NI imani yangu kwamba, lengo kuu la kuanzishwa kwa chadema ilikuwa ni kufanya yale ambayo waanzilishi waliona yakifanyika na wengine katika hali ya kimakosa, hivyo kujaribu kurekebisha....

Taifa, ili likue, linahitaji kuwa na watu walio katika taasisi shindani huru na zenye tija...malengo ikiwa ni kupeana changamoto za kimaendeleo na si zaidi ya hapo..

Ni imani yangu kwamba taasisi zote za kidemokrasia , ikijumuishwa na chadema, zitakuwa taasisi huru, na imara zisizo na mawaa.

Nawasilisha.
====================

Bonyeza hapa chini kusikiliza alichokisema Freeman Mbowe

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=184543&d=1410432197[/JFMP3]

Mbona unazungumzia mambo ya zamani?madai yote ambayo hao misukule wamekuwa wakiyatoa unayaamini?na mbona yote yalishajibiwa na ushahidi hutolewa?je ,hayo madai huwa yanaushahidi hadi uamini?au unasema hayo kishabiki?Hakika Mbowe anawepeleka puta na mtakufa kwa presha msipoangalia.
 
mbowe ni muongo tu kama waongo wengine. don't trust him at anything labda jina lake tu.
juzi hapa nilikuwa naangalia hotuba yake akihutubia DMV marekani utafikiri alikuwa anaongea na chekechea. mara aseme et 60% ya wafungwa wote wamebambikiwa kesi zao. either na polisi an wenye hela. nikajiuliza nikweli kuna waliobambikiwa kesi lakini ni kweli kwa kiasi hicho? kwa kifupi jamaa ni mlopokaji tu kama walopokaji wengine. mwenye muda aangalie mfano wa hiyo hotuba yake utaona ilivyokuwa ovyo.
 
Hivi majuzi katika ufunguzi wa chaguzi za baraza la wanawake Chadema, KUB, Bw, Mbowe alitoa wasaa na nina mnukuu;

" ili kuwa na nchi yenye maendeleo, tunahitaji kuwa na taasisi imara za kidemokrasia, tusitumie muda na nguvu kuzibomoa, bali kuzijenga"

.
.
.
.

Nawasilisha.
====================

Bonyeza hapa chini kusikiliza alichokisema Freeman Mbowe

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=184543&d=1410432197[/JFMP3]

stroke

kwani, umeelewaje hapo kwenye blue?
 
Stroke;
Nakupongeza saana tu. Kumbe hamkati tamaa bali mnakuja kwa misamiati mipya mipya tu kila kukicha? Haya, na unapata wapi mda wa kumsikiliza Mh. Mbowe anapohutubia, tena chama chake?? CDM inakuhusu vipi chama cha msimu tuu kinachojifia chenyewe? Stroke, usipoangalia hakika utapatwa na Stroke sasa hivi.
Achana na mavyama ya upinzani na mambo yao. Ngojea tu kidogo, muda si mrefu umebakia, wote waliodharau CDM wataipata fresh. Si ni nyiye mlitangaza kifo cha CDM kuwa hakivuki April, 2014?? Huu ni mwezi gani? Si nyiye mlikuwa mnaimba mbona hakuna uchaguzi CDM? Mlitaka ufanyike wakati ule ili misukule yenu ipate nafasi ya kutuvuruga si ndio? Intelijensia ya CDM ikawagundua, tumepiga tick tack sasa mmelala chali, UCHAGUZI HUOOOOO tena bila jasho.
Tumeshapata uongozi wote toka shina, kesho M/Kiti wa CDM Taifa anatangazwa. Fujo sijui utaianzia wapi tena. Ukiisha lala chali ngojea tu uta.hi.ri.we tena kwa wembe butu
 
Nakushangaa sana mtoa uzi, unataka chama kiwakumbatie hao wasaliti ndo kipimo cha uwepo wa demokrasia? CHADEMA ndo chama pekee Tz kinachokemea na kuchukua hatua kisheria na kanuni dhidi ya wanaoenda kinyume na mlengo w chama bila kujali nyadhifa na nafasi zao katka chama.
 
Hivi majuzi katika ufunguzi wa chaguzi za baraza la wanawake Chadema, KUB, Bw, Mbowe alitoa wasaa na nina mnukuu;

" ili kuwa na nchi yenye maendeleo, tunahitaji kuwa na taasisi imara za kidemokrasia, tusitumie muda na nguvu kuzibomoa, bali kuzijenga"

Nakiri kuwa hii ni kauli komavu kabisa ya kisiasa toka kwa mwenyekiti wa chadema, nampongeza kwa hilo.

Baada ya pongezi hizo, najikita kwenye lengo kuu la kujadili kauli hiyo,

Si kazi rahisi, nakiri kabisa, kujenga taasisi imara inayohusisha watu zaidi ya mmoja, ukizingatia kuwa watu hao, wana imani zao, vipato tofauti, uwezo tofauti wa kutazama mambo, malengo na matarajio pia, hivyo inahitajika busara ya hali ya juu kabisa kuhakikisha hayo yote yanafanikiwa chini ya mwavuli wa taasisi hiyo.

Naguswa kusema kwamba kauli aliyoitoa bwana mbowe haiendani na matendo halisi na picha tunayoiona sisi wananchi kwa kuangalia mwenendo mzima wa Chama anachokiongoza.

Waingereza wanasema " Charity Starts at Home" Bwn. Mbowe unaitimiza vipi kauli yako kulingana na msemo huu wa waungwana hawa.

Katika vipindi tofauti tumekuwa tukisikia malalamiko mbali mbali toka kwa baadhi ya wanachama na waliowahi kushika nafasi za uongozi ndani ya chama kuwa, ndani ya chama kuna siasa za kikanda, kikabila na kidini....tumeona baadhi , wakijiuzulu nyadhifa zao na wengine kuondolewa nyadhifa zao kwa tuhuma za usaliti...

Tuhuma hizo za usaliti zimekuwa zikiibuliwa mara baada ya wahusika kuhoji baadhi ya mambo na mienendo ndani ya chama, tuna mifano hai ya hayo...yaliyowakuta sote tunayajua...

Kuna makelele ya wanachama kuhusiana na kutokuwepo na ukomo wa muda wa kugombea kwa nafasi za uenyekiti na nyinginezo za juu katika chama.....agenda ya hili ni ipi....

sidhani kama kuwa mwenyekiti wa milele, au kuwa katibu wa milele katika chama ndio kujenga taasisi imara ya kidemokrasia, nahisi ni tofauti..

kuhodhi madaraka kwa muda mrefu, ni kubomoa taasisi ambayo ulitumika muda kuijenga, bila wasiwasi wanachama wataanza kuingiwa hofu na kuhisi kuwa taasisi fulani ni kwa ajili ya watu flani.....

NI imani yangu kwamba, lengo kuu la kuanzishwa kwa chadema ilikuwa ni kufanya yale ambayo waanzilishi waliona yakifanyika na wengine katika hali ya kimakosa, hivyo kujaribu kurekebisha....

Taifa, ili likue, linahitaji kuwa na watu walio katika taasisi shindani huru na zenye tija...malengo ikiwa ni kupeana changamoto za kimaendeleo na si zaidi ya hapo..

Ni imani yangu kwamba taasisi zote za kidemokrasia , ikijumuishwa na chadema, zitakuwa taasisi huru, na imara zisizo na mawaa.

Nawasilisha.
====================

Bonyeza hapa chini kusikiliza alichokisema Freeman Mbowe

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=184543&d=1410432197[/JFMP3]

ninefurahishwa sana na ujengaji hoja wako, not matter what crisis -ujembe umefika .
 
CHAGADEMA hakina tofauti na CUF, Nccr, CCM etc wote Ni ukoo mmoja WA mapanya.

Acha ccm aendelee kutawala mana hana mbadala!
 
Stroke - Congestive Cardiac Failure, Hypertension etc
 
mbowe ni muongo tu kama waongo wengine. don't trust him at anything labda jina lake tu.
juzi hapa nilikuwa naangalia hotuba yake akihutubia DMV marekani utafikiri alikuwa anaongea na chekechea. mara aseme et 60% ya wafungwa wote wamebambikiwa kesi zao. either na polisi an wenye hela. nikajiuliza nikweli kuna waliobambikiwa kesi lakini ni kweli kwa kiasi hicho? kwa kifupi jamaa ni mlopokaji tu kama walopokaji wengine. mwenye muda aangalie mfano wa hiyo hotuba yake utaona ilivyokuwa ovyo.

Mkuu umeandika kwa chuki hadi kila mtu anaona . Wewe unawajua walioko jela ni watu wa aina gani ? Wama kesi zipi na kama kesi zenyewe si za kubambikwa au hapana ? Chuk bro hicho .Anaropoka kama wewe au siyo ?
 
ni kweli wapo wenye kesi za kubambikiziwa kama nilivyoandika kwenye uzi wangu wa awali, lakini hata wewe unakubaliana na mbowe kuwa ni 60% ya inmates? this is kidding.
 
Back
Top Bottom