kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Tuwekee kapicha basi tuone alivyo hongwa izo milioni kumi.Mbowe chama kimemshinda usaliti aliowafanyia CHADEMA wa kukubali kuhongwa na Lowasa bilioni 10 hawatamsamehe
Hatari kubwa wasaidizi wakihoji wanapotezwa kwa kuisingizia serikali!Atatoa wapi ujasiri wakati kageuza chama kuwa "safe haven" ya mafisadi? Shame
mmepoteza matumaini kabisa!Sasa kama Mbowe amepoteza sifa ya kujiamini si ndo furaha yenu wana Lumumba au bado mna mahaba na vazi la Khaki huko mko sababu ya njaa.
Nadhani alikuwa anamaanisha dora.ile ahadi ya mbowe chadema kushika dola
Mku Mimi ni mwanaccm nisiyepepesa macho juu ya ukweli tusilishane Nyama ya Kasa mwenye sumu. Mbowe ndio mwenyekiti bora Tanzania na hilo halipingiki ndo maana yaliandaliwa majaribio mengi juu yake mwisho tuliuona pale Msajili aliyekuwa anasimamia hilo jaribio alikosa mvuto baada ya kususwa na Chadema ikabidi JK amwondoe ktk nafasi ile.Najaribu kumwangalia mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema freeman aikael mbowe si yule mbowe tuliomzoea,
mbowe amepoteza kujiamini,inaonyesha kuna kitu kikubwa kinasumbua na kitu hicho si kingine ni ile ahadi ya mbowe chadema kushika dola,
mbowe amekua muoga kiasi ana wasiwasi kwa wafuasi wake wanataka kujua ni faida gani waliopata mpaka sasa kwa ujio wa lowassa kiasi kwamba hata kama lowassa asingejiunga mafanikio hayo wangeyapata tu.
ujio wa nyalandu bado nafsi inamsuta,mbowe hailezi kwanini chini ya uongozi wake chama kimedumaa japo kimepata pesa nyingi lakini hazisaidii chama,
chama kimepata majina ya mafisadi maarufu lakini bado umaarufu wao hausaidii chama,
Mbowe leo hii amebaki na sababu isiyo na mashiko ya magufuli ni dikteta,mpaka leo hii mbowe ameshatoa matamko kama mia ya kuishutumu serikali lakini mbowe huyu hajaguswa wala kukamatwa.
Dikteta gani anaweza kukuacha tu,kuitwa polisi ukaenda kuhojiwa na kutoka huko si kukamatwa,anawadanganya wafuasi watiifu wadai haki,
haki gani asiyo kuwa nayo mbowe gari ya serikali alikwenda nayo mpaka nairobi kwa shughuli za chama na binafsi lakini serikali kimya,
Nafkiri imetosha serikali imuonyeshe mpera mpera wa siku moja tu ili ajue kama yupo huru,
Kuku wa kizungu hata ukimuacha huru atajihisi ayupo huru,punda haendi bila viboko!
Kampeni za nini ili hali madiwani washanunuliwa na ccm,
Mpaka muda yupo kwake na hajakamatwa halafu mnaongopewa nchi inaongozwa kidikteta!Jana Mbowe kauwasha moto Saranga sio mchezo Suka Jana moto umewashwa Mbowe amesema tunaongozwa na kichaa
Sema nashangaa kwanini kamanda siro anawaruhusu hawa wahuni kufanya kampeni za kihuni kutukana serikali badala ya kujenga hoja za maendeleo, kwa nini wasichambue sera zao? Mbona CCM tunajinadi kwa sera wao kwa nini utasikia eti serikali inatuminya uhuru?? Mbona ndani ya hilo li chama mfu lake mbowe mtu akisema Mbowe dikiteta anafukuzwa uanachamaNajaribu kumwangalia mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema freeman aikael mbowe si yule mbowe tuliomzoea,
mbowe amepoteza kujiamini,inaonyesha kuna kitu kikubwa kinasumbua na kitu hicho si kingine ni ile ahadi ya mbowe chadema kushika dola,
mbowe amekua muoga kiasi ana wasiwasi kwa wafuasi wake wanataka kujua ni faida gani waliopata mpaka sasa kwa ujio wa lowassa kiasi kwamba hata kama lowassa asingejiunga mafanikio hayo wangeyapata tu.
ujio wa nyalandu bado nafsi inamsuta,mbowe hailezi kwanini chini ya uongozi wake chama kimedumaa japo kimepata pesa nyingi lakini hazisaidii chama,
chama kimepata majina ya mafisadi maarufu lakini bado umaarufu wao hausaidii chama,
Mbowe leo hii amebaki na sababu isiyo na mashiko ya magufuli ni dikteta,mpaka leo hii mbowe ameshatoa matamko kama mia ya kuishutumu serikali lakini mbowe huyu hajaguswa wala kukamatwa.
Dikteta gani anaweza kukuacha tu,kuitwa polisi ukaenda kuhojiwa na kutoka huko si kukamatwa,anawadanganya wafuasi watiifu wadai haki,
haki gani asiyo kuwa nayo mbowe gari ya serikali alikwenda nayo mpaka nairobi kwa shughuli za chama na binafsi lakini serikali kimya,
Nafkiri imetosha serikali imuonyeshe mpera mpera wa siku moja tu ili ajue kama yupo huru,
Kuku wa kizungu hata ukimuacha huru atajihisi ayupo huru,punda haendi bila viboko!
Kampeni za nini ili hali madiwani washanunuliwa na ccm,
Kila mmoja anajinasibu kuwa ccm sasa umemsaidia nini mwenyekiti bora kuchukua nchi!Mku Mimi ni mwanaccm nisiyepepesa macho juu ya ukweli tusilishane Nyama ya Kasa mwenye sumu. Mbowe ndio mwenyekiti bora Tanzania na hilo halipingiki ndo maana yaliandaliwa majaribio mengi juu yake mwisho tuliuona pale Msajili aliyekuwa anasimamia hilo jaribio alikosa mvuto baada ya kususwa na Chadema ikabidi JK amwondoe ktk nafasi ile.
Mbowe ni mwanasiasa mahiri asiyeyumbishwa na siasa ambazo aliyevaa hawezi kuzishiriki kwani ni faida ya muda mfupi kwa wachache walioko nyuma ya hili zoezi la kutugawa
Kwani Polisi ni tawi la Ccm mpaka wamkamate Kaiponda Ccm na Mwenyekiti wa Ccm sasa Polisi unawaingizajeMpaka muda yupo kwake na hajakamatwa halafu mnaongopewa nchi inaongozwa kidikteta!
Anajaribu kukipiga chama vanish kiukweli kilishajifia kitambo!Sema nashangaa kwanini kamanda siro anawaruhusu hawa wahuni kufanya kampeni za kihuni kutukana serikali badala ya kujenga hoja za maendeleo, kwa nini wasichambue sera zao? Mbona CCM tunajinadi kwa sera wao kwa nini utasikia eti serikali inatuminya uhuru?? Mbona ndani ya hilo li chama mfu lake mbowe mtu akisema Mbowe dikiteta anafukuzwa uanachama