Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Petro are you sure hiyo nikauli ya Mbowe? Wakili mzima unaamini mambo ya mitandaoni bila ushahidi usio na mashaka au on the balance of probability! Hivi Punde ni Lumumba , unategemea nini kutoka kwake?Nakubaliana asilimia mia moja na Mbowe. Demokrasia ndiyo hiyo sasa!
Mkuu,hiyo imeandikwa na Mwananchi la leoPetro are you sure hiyo nikauli ya Mbowe? Wakili mzima unaamini mambo ya mitandaoni bila ushahidi usio na mashaka au on the balance of probability! Hivi Punde ni Lumumba , unategemea nini kutoka kwake?
Ameyasema wapi? Kweli Mbowe aseme hivyo si mitandao yote ya kijamii ndiyo ingelikuwa hot news! Ona ya Kikwete ilivyo trend Tanzania nzima within minutes of release from the mouth!Mkuu,hiyo imeandikwa na Mwananchi la leo
Itakuwa ni SACCOS ya kwanza duniani kuwa na nguvu kubwa ya kumtia hata uchizi kiongozi wa nchi.ni muda wa wanahisa kukaa chini kumchagua kiongozi mpya wa SACCOS kuu ya kaskazini
Nakubaliana asilimia mia moja na Mbowe. Demokrasia ndiyo hiyo sasa!
Una kipimo cha yaliyopo moyoni?MANENO YA MDOMONI IS NOT EQUAL YA MOYONI
Cecil Mwambe anajua taratibu zote za chama........ Naona kwa mbali mnaanza kutengeneza figisu.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameweka bayana msimamo wake kuhusu hali inayoendelea ndani ya chama hicho, hasa kuhusu nafasi ya uenyekiti, akisema hana tatizo na yeyote anayetaka nafasi hiyo ilimradi utaratibu ufuatwe.
Mbowe pia amesema angependa vijana wengi wajitokeze kuwania nafasi hiyo baada ya mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe kutangaza nia ya kugombea uenyekiti huku kukiwa na mjadala kuhusu muda wa miaka takriban 15 ambao mbunge huyo wa Hai amekuwa madarakani.
Mbowe (58) amejikuta katika wakati mgumu katika miaka ya karibuni, akipata changamoto kutoka nje na ndani; biashara na mali zake zikikumbana na mkono wa dola, huku kukiwa na chokochoko kutoka kwa watu ambao hawajajiweka bayana wanaohoji ukomo wa muda wake.
Lakini juzi, Mbowe ambaye ameiongoza Chadema tangu mwaka 2004, hakuonekana kuyumbishwa na hali hiyo.
“Sina shida kabisa kwa wanaojitokeza kugombea, lakini pia ni vema wakajua taratibu za chama zinataka nini mtu anapotaka kugombea nafasi ndani ya chama ikiwemo hiyo ya uenyekiti,” alisema Mbowe katika mahojiano na Mwananchi.
“Kama Chadema, hatupo tayari kuendesha chaguzi zitakazoleta vurugu isipokuwa (zinazoleta) mshikamano na kukifanya chama chetu kiendelee kusonga mbele kama chama kikuu cha upinzani.”
Unaamini yametoka moyoni kweli!Nakubaliana asilimia mia moja na Mbowe. Demokrasia ndiyo hiyo sasa!
Perfect! People talk AT people not TO people!MANENO YA MDOMONI IS NOT EQUAL YA MOYONI