Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

Kusema tutaandamana kwa kibali au kutokuwa na kibali ni halali? Nchi itakuwa ya kijinga kila jambo unalofanya hata kama ni hatari utaacha kulisemea,utakuwa ni uzezeta wa hali ya juu,angalia kijana usitumike kipumbavu kusupport ujinga

kweli maCCM ni ujinga mtupu, ndo maana nchi yarudi nyuma. Unajua sheria wewe? Sheria iko hivi: polisi hujulishwa tu siku, time na mahali pa maandamano na wao kazi yao ni kutoa ulinzi. Hakuna mahala sheria inawapa mamlaka polisi kutoa vibali vya maandamano. tena namuomba Mbowe amuulize huyo aliyemwita amuonyeshe kipengele cha sheria! Inasdikitisha polisi wetu hawajui hata sheria.

Akina Chagonja wanasema wanavyosema ni kwa sababu polisi wetu ni wavivu katika kila kitu.
 
DCI Manumba mbona amestaafu miezi kibao sasa yuko uraiani.
 
Mkuu polisi hawajui niwachache sana kuliko raia na jela zao zote hazitoshi ata wakichukua shule zote za kata na serikali wafanye jela bado watanzania wenye uchungu wa ugumu wa maisha hazitawatosha.

Kitendo ca kuzuia maandamano watakuwa wameipunguzia ccm siku za kutawala kabla ya 2015. Jamani raia ni wabaya kuliko majeshi na mizinga ogopa adui usiyemjua mkuu.

Ni mtazamo wangu tuu


 

anawaita wa nini wache wafanye ujinga piga mpaka wajute kuzaliwa anafikiri saidi mwema alivyowalea kwa kuwa wanatoka sehemu moja na mbowe arusha piga mpaka wakimbilie kenya
 
Sio kosa lao mkuu.
1. Watanzania wamebemendwa akili zao kwa kukosa lishe bora. by mama maria nyerere 2010 butiama.
2. Watoto wetz ukiwaangalia wanaonekana wana umri mara mbili zaidi ya waliokuwa nao (wamekomaa)nkwa kukosa by bill gate 2012 na lipumba jana 14th sep 2014


 
Leo kweli nimethibitisha ZERO ya mr zero hata hayuko updated na contemporary issues!!
 
Nina munkari wa kuandamana hata kama nitapigwa risasi!
-kwa manufaa ya ukombozi ni pooooooooooozi!
Saaaaaaaaaaaawa!
 
watoto wa Mbowe wote wako Marekani ni raia wa marekani kwa kuzaliwa Siku wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano na mimi nitaandamana

Mi nilidhani Mbowe ndy ana uraia wa America kumbe watoto wake???!!!
sasa kama watoto ni raia wa marekani unataka waje waandamane Tz kwa lipi, ww Mtanzania ndy unatakiwa kuandamana kutetea rasilimali za nchi yako.
Acha Uzuzu
 

DCI Manumba na Chagonja?!

Wewe Mwehu na Punguani DCI(rtd) Manumba amemuita Mbowe Nyumbani kwake ?
Halafu haya ndio ma think tank ya Magamba
Hivi huyu Manumba bado anapiga kazi au ameamua kumshauri mh.Mbowe? Ila watu wengine wanalazimisha uMandela, hebu tusubiri tuone.
 
Mbona Komba alipotangaza kuingia mstuni hakuitwa kwa DCI ........................... Tatizo la double standards za Tanzania, vyombo vya serikali vinalinda maslahi ya chama tawala!!
 
Damu zetu anataka zimwagike amwage zake
 
Maandamano bado yapo pale pale hatuogopi vitisho wameshakufa wengi na wengine ni vilema mpaka leo kwa sababu ya ukombozi
 
Kamanda Mbowe, Lipumba, Mbatia tunawasubiri mtoe Amri, huku Arusha tuko tayari
Hivi hamjui kusoma nyakati kuwa CDM hamtakiwi na WaTZ wameshawaona mnataka kuleta vurugu
 

Manumba sio polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…