Mbowe ni sept 14 au Dec 9?

Unahoji elimu ya MTU tuliemshuhudia akipewa hiyo elimu na wakati huo huo katiba haina haja ya hiyo elimu ili MTU huyo awe mahali alipo, upuuzi tu badala ya kuhoji Sera na kuja na sera mbadala unahangaika na personality ya MTU ikusaidie nini ilhali deep inside unajua nobody is perfect lakini sheria na kanuni za ulimwengu ndio zinatuguide at least kuishi kwa kuheshimiana...
Halafu kifo au kupotea kwa watu wengine hakuna uhakika exactly nini hasa kimejiri bali hisia za kuungaunga ndizo zinatupeleka kunyoosheana vidole...
Otherwise hayupo anaestahili kifo au mateso kwa namna isiyo haki.
Kuna mtu mmetudanganya ni Dr akijitokeza wa kuhoji mnamuua.
 
Profesa yupi unamuongelea maana hata wewe ni Profesa kwa mkeo na watoto wako

Au profesa kwa akili zako unajua ni walimu wa chuo kikuu kwenye rank ya mwisho

Wajua Obama ana PhD lakini hajiiti Dakatari wa falsafa

Wewe Etwege uliyesoma jalalani unajiita Profesa Shameless Africans
Dj aliyepata ziro lakini anaongoza maprofesa
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
HBD KUB kamanda Mbowe. Long live.
 
Leo ni birthday ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Aikael Mbowe.

Imezoeleka na kuambiwa Mbowe alizalliwa Moshi Machame 09.12.1961
Leo naona watu wanamtakia heri ya kuzaliwa.

Tuondoleeni huu utata
Atakuwa amebadili gia angani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…