Mbowe ni kiongozi mwenye maono ya mbali

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
8,915
2,000
Tuchukue nafasi kumpongeza mwenyekiti wa chadema kwa kuamua kujiondoa kwenye chaguzi ndogo za marudio japo anavaa joho la ukawa lakini tunajua ukawa haipo siku nyingi

Mbowe apongezwe hapa kwa kuamua kuepusha gharama za chama katika kampeni ,japo pesa hizo si zao ila ni faida watazitumia kwa kazi nyingine ya kujenga chama
Mbowe ni kiongozi mwenye kuona mbali baada ya kugundua hawana cha kuwaambia wananchi katika kampeni, yote wanayotaka kuyasema yameshafanywa na rais pombe magufuli kwa kutekeleza ilani ya ccm

Kama ni rushwa Takukuru inafanya kazi kweli kweli mpaka walio ndani ya ccm wanaisoma namba,sekta zote zinasimamiwa kwa ufanithi,kilichobaki labda ni kwenda kumshambulia rais kwa mambo yake binafsi na hapa ndipo wanapobanwa wakasema demkrasia inaminywa .
Sababu wanataka kusimama mpaka saa moja usiku kinyume cha sheria,wakishushwa majukwaani wahuni walioandaliwa huvamia polisi nao polisi wakitaka kuwadhibiti wahuni hao wakiwa na sare za chama hulalamika wamepigwa na dola na wanaminywa uhuru wa kuongea

Tumpongeze mbowe wametumia haki kususia ,hayo marekibisho hakuna sababu hakuna mapungufu

Na mbaya zaidi hakuna la kusema lile neno kipaumbele cha chama si ufisadi linawamaliza!

Tetemeko la kata 42 bado linawatisha!
 
Kihava

JF-Expert Member
May 23, 2016
3,746
2,000
Uchaguzi ambao ni mapambano kati ya Vyombo vya dola na wapinzani hatuutaki bora CCM waendelee kutuua kimyakimya hivi hivi kuliko kubaki vilema na kusota mahabusu. Yaani kwa awamu hii ukisikia uchaguzi ujue hapo milango ya gereza ipo wazi kwa wapinzani, kifo, vilema, ngeu na kila aina ya ukatili. Mpaka sasa watu wanaugulia maumivu ya vipigo toka vyombo vya dola. Uliwahi kusikia wapi polisi ndio wanahesabu kura na kutangaza matokeo? Hapo ni baada ya kuwaweka chini ya ulinzi mawakala wa vyama vya upinzani. Angalia ripoti ya kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) jinsi uchaguzi mdogo wa madiwani ulivyokuwa maumivu ya wapinzani toka vyombo vya dola.
 
Kuntakint

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,771

Tanzania nchi yangu kweli hawa ndio vijana tunaowategemea kuwa kuna siku watanzania watajielewa na kuwa huru. Watakaojielewa na kuwa kama wenzetu waghana wanaojua maana ya demokrasia watakaojielewa na kumfanya shangazi yangu kule kolomije aweze kupata maji safi. Ebu soma mawazo ya kijana wa Kitanzania kitu anachoandika au kuwaza. Na anatumia muda wake mwingi kuandika. Ndio niseme Tanzania itaendelea kwa vichwa kama hivi vya kondoo. Watanzania wenzangu bado tunayo safari ndefu.
 
Milango ipo ya gereza ipo wazi kwa wavinjifu wa amani,LHRC ipo chini ya chadema hawatasema mazuri kwa serikali kamwe kisa tu mkurugenzi ana chuki binafsi na rais!
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
8,915
2,000
Tanzania nchi yangu kweli hawa ndio vijana tunaowategemea kuwa kuna siku watanzania watajielewa na kuwa huru. Watakaojielewa na kuwa kama wenzetu waghana wanaojua maana ya demokrasia watakaojielewa na kumfanya shangazi yangu kule kolomije aweze kupata maji safi. Ebu soma mawazo ya kijana wa Kitanzania kitu anachoandika au kuwaza. Na anatumia muda wake mwingi kuandika. Ndio niseme Tanzania itaendelea kwa vichwa kama hivi vya kondoo. Watanzania wenzangu bado tunayo safari ndefu.
Vijana wengi wameacha kufanya kazi kwa kuaminishwa nchi uchumi wake umeshuka lakini wenzao wanapiga hatua!
 
NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,696
2,000
Hivi mbowe bado mpaka Leo ni mwenyekiti wa CHADEMA? Mara ya mwisho nilimsikia akiwa Nairobi basi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom