ila cdm wanamoyo japo wanajua hawatashinda ila wapo tu
kwa wasema hawatashinda ?? au mkakati umeshawekwa tayari kama Igunga sema mkuu here we dare to openlyila cdm wanamoyo japo wanajua hawatashinda ila wapo tu
Mungu bariki waendele vivyo hivyo hadi kielewekeSpirit ya viongozi hawa wawili wa CDM inanifurahisha sana.
Hao wanachama wa CDM maelfu wametoka wapi zanzibar? Au mwandishi alikuwa naandika tu kujifurahisha?Taarifa ya CDM imesema vinara wakuu wa chama hicho Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa watawaongoza maelfu ya wanachama wake wa Zanzibar hapo kesho
usijali wala hilo lisikusumbue kwa sasa jali zaid namna jimbo litakavyo kuwa baada ya kuchukuliwa na CDM maana ukombozi wa kweli utafikia walio wengi Jali pili elimu ya uraia inayo tarajiwa kumwagwa huko hapa kifo chenu kiwadia RIP kingxvi etaldj mbowe na padri slaa wamefuata posho tu ya laki 6 per day
Mungu bariki waendele vivyo hivyo hadi kieleweke
uanachama wa moyoni siyo wa kwenye vikatasi munao wategemeaHao wanachama wa CDM maelfu wametoka wapi zanzibar? Au mwandishi alikuwa naandika tu kujifurahisha?
is this coment or what.? Ng'ombe
Kumbe hiki ni chama cha watu wawili..nilikuwa silifahamu hili!Kwa kweli mkuu mafanikio yote ya chama hiki yanatokana na magwiji hawa wawili ambao ni fahari ya CDM.
ndilo tatizo wanafuasi wa mafisadi walio wengi like you hawawezi kusimamia wanachokisemaThis story, is what the fools want to hear although it lacks substance !