Allien
JF-Expert Member
- Jul 6, 2008
- 5,546
- 1,861
Waziri Mkuu Msatafu Mh. Edward Lowassa akiwa nje ya Kanisa Katoliki Parokia ya "Wami Sokoine" akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe.
Je, Waweza kutoa maelezo ya Picha hii?
Je, Waweza kutoa maelezo ya Picha hii?