Mbowe na hadithi ya Chura!

Kwa hiyo wakiongea na waandishi wa habari ndio wakinamama watapata huduma ya kujifungua salama,ndio wamama watakuwa hawatembei km 10 kutafuta maji,ndio viwanda vitaongezeka ili kuwapatia vijana wetu ajira,ndio wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi wasiojua kusoma na kuandika watapungua au kuisha kabisa!!!!???
Mh Haule, Mh Nassari na Mh Mnyika kesho wataongea na wandiahi wa habari
 
Anang'ang'ana kwa sababu his is not a political party, but a saccos... Hataki laana, umaskini, kwa hiyo Cdm ni Mkurabita wa Mbowe. Msimlaumu, jilaumuni nyie ambao hamjui Saccos yenu inaelekea wapi!
 
Hizi ni propaganda mlizokujanazo nyinyi ccm ili mtimize matakwa yenu.

Udhaifu mnaouzungumza kwa chadema.

Suali mnaweza mkauweka uchaguzi WA huru na wahaki ili tujue kukubalika kwenu?


Thubutu.
 
Mbona mlisahau jimbo lenu ambalo lilipoteza nguvu kazi zaidi ya 200000 katika ajali ya kutumbukia kwa kivuko cha MV Nyerere, Ziwa Victoria, na Mbuge wenu akibaki mkiwa.

Toeni kibanzi jichoni kwenu kwanza
Ccm mmekataza mbunge asiye wa jimbo kwenda jumbo LA mwenzake. Nasikia mlijiandaa kuwaweka ndani wale wrote ambao wangetia mguu ukerewe,
 
Ccm mmekataza mbunge asiye wa jimbo kwenda jumbo LA mwenzake. Nasikia mlijiandaa kuwaweka ndani wale wrote ambao wangetia mguu ukerewe,
Je, Wabunge waliohudhuria maziko ya mbwa wa Nasari, baba wa Prof J na Sugu au Marehemu Mbunge wa Buyungu, walikuwa kutoka nchi gani?

Majibu ya kitoto hayo.
 
ivi tanzania chama pinzani kipo kimoja tu 'cdm'? maana hawa chukua chako mapema" wanavyopata shda na mbowe yaan mpaka aibu!! dingi mbowe walaah wewe ni jembe kama ni tuzo ya upinzani bora ingekuwa inatolewa ingekuhusu.
 
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.


Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapa ndiyo usomi wenu unakuwa wa kutia mashaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…