Deo Meck Mbagi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 360
- 525
Mbowe kweli one man show kama kaka mkubwa. Maana naona ndio Mwenyekiti wa Chama na chief signatory wa account zote za chama.
Ila zaidi yeye ndie Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ndani ya chama, yaani chaguzi zote za anazisimamia yeye. Hii maana yake ni nini? Kazi ya Kurugenzi ya Kampeni na Uchaguzi ni nini? Huyo mkurugenzi na afisa wa uchaguzi kazi zao ni zipi? Wanalipwa ili kufanya nini?
Katika moja ya sifa ya kiongozi bora ni delegation of power/duties. Pia kujenga institutional capacity, sio kila kitu wewe, kazi ya Katibu Mkuu kama mtendaji ni zipi hadi majukumu yake ya kiutendaji yachukuliwe na Mwenyekiti?
Je kuna Siri ya kuamua kusimamia show zote mwenyewe? Ni Siri gani?
Uzoefu unaonyesha wanasheria ndio hupewa majukumu kusimamia chaguzi sehemu mbalimbali duniani, wamekosa wanasheria wa kusimamia chaguzi zao? Kuna wanasheria wazoefu kina Prof. Safari, wazee wasomi kina Prof. Baregu. Hawaaminiki kusaidia majukumu hayo hadi yote yafanywe na mtu mmoja?
Something must be wrong somewhere. Time will tell.