Kwanini usiweke alichoandika na sisi wengine tuonePopote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
unafikiri wote tumeolewa ka wewe??😂😂 Jiti la jicho limekuingia ndo mana povuNa wewe mkanye mumeo aache kudoea pombe,kuna siku tutamgeuzia kibao atulipe kimtindo
siwezi kusambaza upuuzi sheria hainiruhusuKwanini usiweke alichoandika na sisi wengine tuone
Mtu mweupe kumbe sio mtu..?.Nakutupia wewe mtumwa wa fikra za mtu mweupe
Ndo maana nimesema kichwa ni maji unawaza chini tu kwa nini ujasema nikatae kofia ila chupi tuMtu mweupe kumbe sio mtu..?.
Mbona hujapata akili ya kukataa chupi zao..(unavaa tena kwa madoido)
Mungu sio mama yako mdogo ... Hamtaki kuamini kama JIWE kamuacha mwanasheria TL anapumua
Mungu sio mama yako mdogo ... Hamtaki kuamini kama JIWE kamuacha mwanasheria TL anap
Tundu Lissu pia sio malaika, mtu hatari katika nchi hii na ana interest zake, angalia karudi kaja kugombea urais baada ya kumalizika uchaguzi na kuambulia manyoya karudi kula bata ulaya. ya heri nchi hii iongozwe na shetani kuliko LissuMungu sio mama yako mdogo ... Hamtaki kuamini kama JIWE kamuacha mwanasheria TL anapumua.
Popote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Unanipangia yakusema..Ndo maana nimesema kichwa ni maji unawaza chini tu kwa nini ujasema nikatae kofia ila chupi tu
Lissu angekuwa mtu hatari asingepata nafasi ya kugombea urais.Tundu Lissu pia sio malaika, mtu hatari katika nchi hii na ana interest zake, angalia karudi kaja kugombea urais baada ya kumalizika uchaguzi na kuambulia manyoya karudi kula bata ulaya. ya heri nchi hii iongozwe na shetani kuliko Lissu
kwa ujinga wake alipewa nafasi huku ikijulikana kuwa hawezi kushinda uchaguzi hata kwa dawa. Haitakujatokea kuwa Rais wa nchi hii hiyo iko wazi na huo ndio ukweli mchunguLissu angekuwa mtu hatari asingepata nafasi ya kugombea urais.
Yule mjinga ndio aliwaaminisha ujinga na bado amekufa amewaachia uchizi wa kumshutum mtu bila ushahidi.
Magufuli aongezewe muda.. JPM mingapi tena... KAMFUFUENI BASI.
kwa ujinga wake alipewa nafasi huku ikijulikana kuwa hawezi kushinda uchaguzi hata kwa dawa. Haitakujatokea kuwa Rais wa nchi hii hiyo iko wazi na huo ndio ukweli mchungu
Hamuamini kama muuaji kafa yeye..kwa ujinga wake alipewa nafasi huku ikijulikana kuwa hawezi kushinda uchaguzi hata kwa dawa. Haitakujatokea kuwa Rais wa nchi hii hiyo iko wazi na huo ndio ukweli mchungu
sina shida na kuwa kiongozi wa kisiasa, narudia haitakuja kutokea Lissu kuwa Rais wa TanzaniaHamuamini kama muuaji kafa yeye..
Wewe lini unakuwa rais..?
Wewe lini utakuwa hata mjumbe wa nyumba 10?sina shida na kuwa kiongozi wa kisiasa, narudia haitakuja kutokea Lissu kuwa Rais wa Tanzania
wewe ndio unae amua nani awe nani si ndio?sina shida na kuwa kiongozi wa kisiasa, narudia haitakuja kutokea Lissu kuwa Rais wa Tanzania
ukwel utabaki kuwa ukwel kma huamini subiri mudawewe ndio unae amua nani awe nani si ndio?
Huko mwendako siko.ushahidi huna, unahangaika tu muuaji wewe ndiye ulimpatia silaha? mmetandikana wenyewe risasi ili mpate huruma kwa wananchi mnambebesha mtu ambaye hayupo duniani
Naona sasa mwataka fika pabaya. Acheni makumbano.ushahidi huna, unahangaika tu muuaji wewe ndiye ulimpatia silaha? mmetandikana wenyewe risasi ili mpate huruma kwa wananchi mnambebesha mtu ambaye hayupo duniani