IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 547
Unauhakika.Unafikiri kwanini usilikanye somo lako kabla hajakanywa? Manenonhaya sio kabisa.....Popote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Kuna watu wakisikia jina la Lissu akili zinayumba mkuuLissu piga spana za vichwa mpaka akili ziwakae sawa.
Mleta mada ni wa kupuuziwa tuMkanye wewe si ndio unasoma post zake huko mitandaoni, Kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake, Wakati watanzania tunamchangia ili aokoe uhai wake baada ya Marehemu na Bunge lake kumkatalia hamkujua kwamba sio utamaduni?
andika vizuriUnauhakika.Unafikiri kwanini usilikanye somo lako kabla hajakanywa? Manenonhaya sio kabisa.....
utapuuzaje ujumbe unaokuhusu?Mleta mada ni wa kupuuziwa tu
jidanganye tuuKuna watu wakisikia jina la Lissu akili zinayumba mkuu
Kunywa sumu au jing'onge umfate uko alipo marehemuutapuuzaje ujumbe unaokuhusu?
Siyo kidogoNchi ina wapumbavu wengi sana hii
Mungu sio mama yako mdogo ... Hamtaki kuamini kama JIWE kamuacha mwanasheria TL anapumua.Kwendeni zenu wewe kwa akili yako mtu ambae amepitia trainings alenge shabaha risasi 16 akosee! ukiambiwa lete ushahidi utaleta? unafikiri vita ya kiuchumi ni lelemama mtu yoyote anaweza kutumika kumshambulisha mtu fulani ilimradi tu wananchi wagombane na serikali yao.
Ishu ya Lissu kupigwa risasi usijitoe ufahamu hapa wkt waliondoa walinzi na camera.You have to keep an open mind! Ushahidi kwamba ameua mtu yeyote uko wapi? Kumtuhumu mtu bila ushahidi wowote ni chuki binafsi na uonevu.
Critics wengi wa serikali huuawa bila maagizo yoyote ya viongozi wakuu. Kuna mashabiki ambao hawaoni shida kumuondoa mtu ambaye wanadhani ni headache kwa kiongozi wanayempenda wao. Mashabiki wa aina ya wafuasi wa Trump, kwa mfano, hawahitaji maagizo yoyote kutoka kwa Trump kumfyekelea mbali mtu ambaye wanamuona ni tishio kwa kiongozi wao. Hawa ni wahalifu wanaoamini kimakosa kwamba matendo yao yana maslahi kwa taifa!
Hata mimi nikijianika mahali nikawa mkosoaji mkali sana wa Lissu au Mbowe, kila uchao, ninaweza kutekwa na kuuawa na wafuasi wao hata bila wao wenyewe kutoa maagizo yoyote. Hii ndiyo kasoro kubwa inayoambatana na ushabiki.
Ni mlolongo wa white people kuchafua inchi kiamaniIshu ya Lissu kupigwa risasi usijitoe ufahamu hapa wkt waliondoa walinzi na camera.
Tufunge mjadala.. Marehemu JPM alikuwa Malaika (nimekubali)
Kweli watu weusi tunavichwa maji ikiwepo wewe hivi ulisha sikia wapi ulaya kiongizi wa chama pinzani kapigwa risasi kwani nini ni kwetu tu africa ndo itokee kwani ulaya uwongozi mbovu hakuna na upinzani wanazungu uwongozi mbovu kila leoMbona madaraja tunayataja na hamkatai.. iweje mauaji aliyofanya tuyafiche kisa kafa
Ukoo wa panya nyie
Ishu ya Lissu kupigwa risasi usijitoe ufahamu hapa wkt waliondoa walinzi na camera.
Tufunge mjadala.. Marehemu JPM alikuwa Malaika (nimekubali)
Bwana 3LlyEmma. Tubu kwa mola wako. Hakuna mwanadamu ambaye ni malaika.Ishu ya Lissu kupigwa risasi usijitoe ufahamu hapa wkt waliondoa walinzi na camera.
Tufunge mjadala.. Marehemu JPM alikuwa Malaika (nimekubali)
Kumbuka Lisu kalalamika kabla ya tukio kuwa kuna watu wanamfatilia na kutoa taarifa kwa wahusika,Inashangaza jinsi ambavyo wakati mwingine huwa tunalishwa vitu fulani na sisi kuvimeza bila kuhoji chochote. Nani amewahi kuanika ushahidi wa haya madai?
Hivi kumshambulia Lissu akiwa elsewhere (including njiani) ilikuwa haiwezekani kabisa mpaka tu pale mahali alipokuwa anaishi? Obviously, kama walinzi na camera vilikuwa vikwazo, wangeweza kumlia timing mahali pengine muafaka.
Hakuna anayesema JPM alikuwa malaika. Hata hivyo, kutokuwa kwake malaika haitupi sisi uhalali wa kumtuhumu kwa kila uovu tunaoufikiria hata kama hatuna ushahidi wa kuhusika kwake!
Na wewe mkanye mumeo aache kudoea pombe,kuna siku tutamgeuzia kibao atulipe kimtindoPopote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Najua hilo.. mabaya yake hamyataki sasa tumuiteje?Bwana 3LlyEmma. Tubu kwa mola wako. Hakuna mwanadamu ambaye ni malaika.
Ujinga wako baki nao mwenyewe wala usinitupie mimi..Kweli watu weusi tunavichwa maji ikiwepo wewe hivi ulisha sikia wapi ulaya kiongizi wa chama pinzani kapigwa risasi kwani nini ni kwetu tu africa ndo itokee kwani ulaya uwongozi mbovu hakuna na upinzani wanazungu uwongozi mbovu kila leo
Nakutupia wewe mtumwa wa fikra za mtu mweupeUjinga wako baki nao mwenyewe wala usinitupie mimi..
majinga sana nyie
MaduduNajua hilo.. mabaya yake hamyataki sasa tumuiteje?