Elections 2010 Mbowe, Marando, Slaa, Zitto, Lissu, Mnyika

Luteni, ombi lako limekamilika. ebu tusubiri jingine baada ya hili la WANAMAPINDUZI, WAPENDA MABADILIKO KUFANYA BIG SUPRISE
 
Luteni, ombi lako limekamilika. ebu tusubiri jingine baada ya hili la WANAMAPINDUZI, WAPENDA MABADILIKO KUFANYA BIG SUPRISE
Kati ya watu waliofurahi na mimi ni mmoja wao, congrats again Chadema it is a good move as we expected, kitendo hicho kimezidi kuongeza imani kwa wapiga kura wenu.

Inagawa CCM watabeza lakini impact yake ni kubwa sana itaonekana muda si mrefu Chadema imejiongezea point. Next move ya Chadema ni kupeleka mashambulizi bungeni bila kusahau kuendeleza Operation Sangara part II.
 
Back
Top Bottom