MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,415
- 4,881
Kama unajua demokrasia na wenzio kumbuka waliofanya uamuzi huo ni wananchi siyo chama. Chama kiliheshimu kupeleka hoja kwa wananchi hawakulazimisha. Juu ya hayo maamuzi ya wananchi kwenye kura yameheshimiwa. Hatukusikia Polisi wamehusika . Ruhusini kura ya maoni yatakayofanywa na wananchi kwa Zanzibar na Katiba. Hii ni michakato ya kisiasa mmepiga marufuku siasa mnataka demokrasia IPI?Uko nje ya Mada!