Mbowe Lowassa Sumaye tangulia Tuandamane!!

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,563
Reaction score
57,888
Nipo tayari kuandamana endapo Mbowe ,Lowassa,Sumaye na wake zao na watoto zao watatangulia mbele Mimi niwe katikati yao !!

Nipo tayari nipo tayari maana hata Dr Slaa Tuliandamana naye akiwa na mke wake akapigwa akavunjwa mkono na mke wake akaumia kichwa lakini

Mwishowe mbowe ulimkata Dr Slaa kwenye uchaguzi ulipita

Mimi sitaki unikate tangulia twende wote!!!
 
kumbuka uko nyuma ya KEYBOARD,unaona umejifichaaaaaaaaa
 
Wamefanya siasa za maandamano miaka 15 sasa lakini wao na familia zao hawajwahi kuchubuka hata unywele wakati watoto wa wengine wakifa, kuumizwa na kulemaa. Watu wa ajabu kwelikweli
Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?
 

Lini hayo maandamano na yanahusu nini?
 
Siku zote sisi maskini ndio wakombozi wa taifa sababu hatumwogopi mtu nasema tena 1mwezi wa 9 police wajiandae na mizinga kabisa maana mabomu ya machozi risasi za moto hazitasaidia kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…