Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
Ni kweli kabsa
 
Huu uzi ukitaka uieelewe anza kusoma comment ya mwisho kwenda ya kwanza
 
Ni upuuzi kujadili ujinga na uongo,hata kama mtu,umpendi,kama watu wazima wanaongea uongo je watoto watutegemeao tuwatarajie nini?
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Kwa sasa umegeuka kuwa mpiga debe mkuu wa mamvi.
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5

Huo ndio uzuri wa jf, inatunza kumbukumbu, wanafiki, ndumi la kuwili, wazandiki, vizabizabina tusokuwa na kumbukumbu nzuri lazima tutaumbuka
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
I love this game
 
Lowassa akiwa Rais akasimama jukwaa akikemea rushwa watu watakauka kwa vicheko na mishangao! Itabidi rushwa ihalalishwe tu kwny taasisi za umma maana Rais mwenyewe ndio fisadi #1 ???
Leo ndo tegemeo la CDM mkuu!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…