Mbowe kupanda kizimbani leo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,198
Reaction score
162,745
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mh.Mbowe,anatarajiwa kupanda kizimbani leo kujibu tuhuma zinazomkabili.

CHANZO:Uhuru.
 
aah habari umeipata kwenye gazeti la udaku?uhuru haliuziki
 
waingereza wanamsemo wao, "two wrong don't make it right". Hauwezi kumsafisha Mbowe kwa kutaja wahalifu wengine ambao hawajachukuliwa hatua. Au siwezi nikaanza kuvunja sheria kwasababu najua kuna mtu alivunja sheria na hakuchukuliwa hatua. Cha msingi hapa athibitishe hakuvunja sheria.

Akitokea mtu akudhuru alafu ajitete mahakamani mbona Malima hajachukuliwa hatua utakubali aachiwe huru?
 

Differenciate singular and plural
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mh.Mbowe,anatarajiwa kupanda kizimbani leo kujibu tuhuma zinazomkabili.

CHANZO:Uhuru.

Ni jambo la kawaida duniani kuona wapigania maslahi ya taifa wakipata misukosuko,

huku maharamia yakiwa Dodoma kuteketeza pesa za walipa kodi.
 
Ni ile Kesi yake ya kumshambulia na kumtukana matusi mazito wakala wa uchaguzi? Au ni ile ya kufanya maandamano na fujo?
 
hizo tuhuma za kubambikiziwa mbowe anazo nyingi tu.hiv kuna haja gani ya polis kufungua kesi ambazo wanajua watashindwa?
 

Waingereza hawana huo msemo , huo labda wako.
 
Huyu bora awekwe ndani kwamuda mrefu ni hatari kwa jamii
 
Ni ile Kesi yake ya kumshambulia na kumtukana matusi mazito wakala wa uchaguzi? Au ni ile ya kufanya maandamano na fujo?
Hapana ni ile kesi ya pesa za ESCROW inasemekana Mbowe aliinjinia dili wengine wote wameachiwa hawana hatia walichukua kihalali kabaki yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…