singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Wadau
Mbowe amepinga kukamatwa kwa wabunge wake wa chadema kwa madai ya kudhalilisha lakini mbowe huyo huyo huwa anakaa kimya na kufunga mdomo inapotokea wabunge wake wanapowakosea heshima viongozi wa Serikali tumeona ya Kubenea alivyokuwa analichofanya kwaMakonda, pia tumeona aliyofanya vya msigwa huko Iringa lakini yeye kama mwenyekiti wa chama na amekuwa akiuchuna tu.
Sasa leo Mbowe anapokuja juu na kudai wamechoka kukamatwa kamatwa wakati anasahau kuwa hata watu wengine nao wamechoshwa na vitendo vya wabunge wake amabo wamekuwa busy kutafuta issue ili wasomeke katika front page za magazeti na tip ambayo haiwasaidii zaidi ya kuwapoteza kisiasa.
Mbowe anapaswa kuwafunza adabu wabunge wake waheshimu mipaka ya kazi yao ya ubunge sio kuwa mbunge ndio uwe mvunjifu wa sheria halafu uachwe tu haiwezekani tena narudia hilo la kuvunja sheria na kukebehi viongozi wengine pamoja kuvijaribu vyombo vya dola havikubaliki duniani kote.
Wabunge wa chadema wanatakiwa kuhakikisha maendeleo yanapatikana majimboni mwao na si kulumbana na wakuu wa wilaya pamoja na polisi eti kwa kuwa wewe ni mbunge, sheria ni msumemo haitambui wewe ni mbunge au la unapofanya kosa lazima sheria ifate mkondo wake na polisi kufanya kazi yao, wanapaswa kuacha utoto halafu wanakimbilia kulialia katika media
Wabunge wa Chadema wanapaswa kujitambua kuwa mbunge si kuwa juu ya sheria wanapaswa kutii sheria za nchi na taratibu zingine hawaoni aibu bungeni wanafanya vurugu kila leo hata majimboni nako? hebu acheni utoto pigeni kazi 2020 sio mbali msije kuangukia pua, Acheni kulialia.