Mbowe kugombea ubunge Moshi Mjini

Hawana vipaji vipya hadi wang'ang'anie wao?
 
Unamkana BAVICHA mwenzio, au ID yake imekuwa hacked, maana huyu mmaranguoriginal. ni mmoja wa viwavi wanaoshinda humu wakitetea ujinga wa CHADEMA kama wewe.
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Mkuu hawa vijana wamepagawa wanakimbiana mapema sana jambo la ajabu ni kwamba bavicha hupinga mambo bila hata kutafuta kwanza kujua ukweli.
 
Kwanini hatupendi kukosolewa? This is the free world, you cant hide your sin for long. Tutakujua na tutayajua madhambi yako na tutayasema kama hivi

Sikatai kukosolewa ila nimesema za kuambiwa achanganye na zake!
 
kamanda arushaone nakuonaga mtu wa kujenga hoja kumbe na wewe unakuwa kama mazuzu ya ccm kutukana duh kazi ipo kutoa elimu ya siasa mkuu saanane
Watu wanaoongoza kwa matusi hpa jukwaani mnajulikana...ufipa
 
Blah blah blah tu! Ukiambiwa na rafiki yako wa karibu unaleta huku JF fasta bila kupeleleza?


Za kuambiwa changanya na zako mjomba!
Ukweli ndiyo huo mbowe hai imemshinda anatafuta pakutokea hili liko wazi lakini wewe kwa kuwa umelewa siasa za kishabiki bila hata kujitambua unafanya nini mbowe anamawazo ya ajabu sana.
 
Ss si ungemuuliza hyohyo mtu wako? Unatuuliza siye ambao tunaahabarishwa na ww?

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 


tatizo letu vijana wa kitanzania ni kushindwa kujibu hoja kwa hoja matokeo yake watu wanaishia kutukana...mimi nishasikia hizo tetesi zaidi ya mwaka 1 uliopita..ila cha msingi ni kwamba tuache ushabiki na tuangalie hatima ya manispaa ya Moshi. Ki ukweli mzee ndesa pamoja na kumkubali amechoka na umri umesepa sana..iwapo chadema wakishindwa kuweka mtu sahihi kwa manispaa ya moshi watapoteza jimbo..muhimu ni kuangalia mtu atakayetetea maendeleo ya manispaa ya Moshi na ishu si chama.. tunataka maendeleo na kimsingi Hai hawamtaki mbowe sababu amejikita zaidi kuimarisha chama taifa akasahau Jimbo lake. kwa maoni yangu Manispaa ya Moshi inahitaji mwana moshi mwenye uwezo wa kutetea Moshi bila kujali chama....ila Ni wakati sasa mzee ndesa apumzike ubunge tuchague mwngine mwnye uwezo wa kwenda na kasi ya kizazi cha sasa.... Samahani kwa niliowaudhi.
..
 

Hili la Kugombea Moshi mjini sina uhakika nalo. Ila hili la kuboronga jimboni kwake liko wazi kabisa, Kutokana na sababu zisizojulikana Mbowe amekuwa hadimu sana jimboni kwake. Ahadi zake nyingi hazijatekelezwa hata robo yake. Kwa mf. Aliwaahi wakazi wa Machame Uroki kuwa atawajengea Zahanati na kuwanunulia Ambulance kabla ya 2012, Muda umeshapita na hakuna chochote kilichofanyika.
 
Sikatai kukosolewa ila nimesema za kuambiwa achanganye na zake!
Umeanza kwa matusi na kejeli. Hapa ndio umejikosoa na kujidahihisha, haya turudi kwenye mada....mbowe atagombea moshi mjini? Japhary michael naye anajiandaa kwa upatu wa mzee ndesa? Mbowe ameharibu hai?
 
Shida ya wabeba mikoba wa mbowe hupinga bila kutafiti jaribu kutafuta ukweli kwanza ndipo uanze kubisha unatia aibu kijana.

Kwanza Ben Saanane si mbeba begi la Mbowe, pili mleta mada kasema kaambiwa tu na hana uhakika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…