mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Duh vipaji hii vya umbea si vya kubeza kabisa
Ukitukanwa utalalamika..?
WANABODI, wasaalam nimetonywa na rafiki yangu wa karibu sana wa ndani kwamba mwenyekiti wa chadema freeman mbowe ana nia ya kugombea jimbo la moshi mjini 2015 kwa kile kinachodaiwa mzee ndesamburo kustaafu siasa na kuachana nayo mosi wakati huo huo kuna tetesi kwamba meya wake JAFARI ndiye anayepigiwa chapuo na mzee ndesambaru kurithi mikoba yake, kitendo hichi kimeleta msuguano wa ndani kwa ndani kati ya mzee ndesamburo na mbowe kwasababu nyumbani kwake hai ameharibu.nataka ukweli wa hili.tujadili
Huu ni umbea akuna cha personal attack we ungehoj icho chanzo chako kikwambie hai mh wetu kaaribu nini adi aende mosh mjini....... huuu ni umbea liiiiiiiiive bila chenga
akili inavyokutuma wewe amua ujenge hoja au utoe matusi kamanda
Duh vipaji hii vya umbea si vya kubeza kabisa
Hakuna haja ya kukurupuka na kuropoka, jenga hoja eleza hali iliyopo ili kuwafafanulia wanajukwaa.Duh vipaji hii vya umbea si vya kubeza kabisa
Kwani mbowe ni mungu? Mbona taarifa zake zikielezwa mnakuwa mbogo hivyo?Ukitukanwa utalalamika..?
sanane ndio maana nimesema tetesi nipe uhakika kama si kweli au kweli nilikuwa kwenye ziara zangu pale moshi nikatonywa na kada mmoja wa chadema dont make personal attack
Unamkana BAVICHA mwenzio, au ID yake imekuwa hacked, maana huyu mmaranguoriginal. ni mmoja wa viwavi wanaoshinda humu wakitetea ujinga wa CHADEMA kama wewe.