thomasfute
Member
- Feb 10, 2016
- 64
- 13
Bila mbowe hakuna CHADEMA, hata Mtei ashapigwa gepuIqraa.....Elimu.
Lumumba elimikeni. Nani kawaambia Mbowe ndiyo chadema???
Yamezoea kuliwa hayo MA ccm, yaache yaliwe, wao hudhani kumshawishi mtu ni kwa pesa tuHaha CCM wanaliwa pesa yao kwa style ile ile ya Davis Mosha.