vijana wa ufipani....bangi zitawaumiza!
nadhani wamekosea. hiyo ilikuwa zama zile kabla ya Lowasa. sasa hiv Lowasa ndio chadema. hakuna cha sijui Mtei wala naniIqraa.....Elimu.
Lumumba elimikeni. Nani kawaambia Mbowe ndiyo chadema???
hivi dogo kwa malipo ya karanga tu leo umeamrishwa unifatilie? ...nina uhakika unatumia ID ya chadema.siwezi kuwaita vijana walumumba majuha kwa kuwa sifikirii wote ni vichaa kama ww ila upo peke yako unaechafua sifa ya vijana wa ccm ujipime kama wafaa kuwa humo wataalamu wanasema ktk msafara wa mamba hata kenge wamo waweza kuwa kenge mmoja unaechafua wenzio kumbuka kila anaepinga ccm sio chadema hii nchi sio ya vyama viwili ndo mana nkakwambia ujipime kama wafaa kuwa huko ufikirio wako na mawazo hata kuku ubongo wake unakuzidi kwa uwezo wa kufikiri na maamuzi.
na kama upo kitengo cha propaganda chafu bas wala pesa zao za bure.
haya magizo ya masabuli bado yapo nildhali yalisha kipindi cha uchaguzi wanarudi kwa lipi?Yamesemwa Jana na Vijana 12 waliokuwa wa Chadema Wilaya ya Moshi wakati wakivua Magamba yao kumthibitia Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Kuwa wao si majipu wanaomba wanaCCM wawapokee
"...tulisikia akisema Rais anatekeleza Sera zetu,kweli rais anapambana na ufisadi na kuwasaidia watanzania,wanatoka bungeni kumpinga? Huu ni unafiki kama Mbowe angekuwa na busara angeenda kumuona rais ampe maoni yake si kumtega Rais ,angejataliwa ndio angeuambia umma tujue,tumechoka siasa za ovyo tunarudi CCM kumuunga Mkono Magufuli.."
hivi dogo kwa malipo ya karanga tu leo umeamrishwa unifatilie? ...nina uhakika unatumia ID ya chadema.
Mtumishi hewa namba moja ni Salum Mwalum,hakai unguja kueneza chama....yeye yupo ufipa mnavuta naye bangi...nshakupoteza kabisa unachokiongea unakijua mwenyewe hapo ndo uwezo wako ulipoishia kwa kumalizia mimi sio levo zako hilo lishajidhihirisha natakiwa kupambana na kina kinana wewe bado mchanga sana ndo mana nkasema waliokuajiri ktk kitengo unachokitumikia unapata malipo yasiyo stahiki yako huna tofaut na mtumishi hewa.
Iqraa.....Elimu.
Lumumba elimikeni. Nani kawaambia Mbowe ndiyo chadema???
Mtumishi hewa namba moja ni Salum Mwalum,hakai unguja kueneza chama....yeye yupo ufipa mnavuta naye bangi...
Wangekuwa imara wangipewa nchi, zaman labda walikuwa imara kabla lowasa hajatimbaCHADEMA kweli wako IMARA
Nashangaaa!Afu chadema wanataka tbc ionyeshe bunge live afu wao wanatoka bungeni.hehehe
Wangekuwa imara wangipewa nchi, zaman labda walikuwa imara kabla lowasa hajatimba
Nashangaaa!