barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Ukweli ni hamna anayeingia, ila wanaotoka ni wengi. Yaani hata wazee wa viroba ktk vituo vya mabasi akili zinaanza kuwarudi. Fika Segerea mwisho asubuhi kituo cha basi usikie stori zao.Wamehama wengi wameingia wengi
Dogo acha kupanik!..Mbowe chama kilikuwa cha babamkwe kabla Luwasa kununua hisa nyingi...
Panua akili yako, hiyo sio sababu yao pekee ya kuzira bunge!kuzuia kuonesha Bunge siyo sera. Wewe ukisikia neno sera unajua ni nini?
Nyingine ni ipi?Panua akili yako, hiyo sio sababu yao pekee ya kuzira bunge!
Bora urudi kwa magufuli angalau kuliko huko kwa mccYamesemwa Jana na Vijana 12 waliokuwa wa Chadema Wilaya ya Moshi wakati wakivua Magamba yao kumthibitia Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Kuwa wao si majipu wanaomba wanaCCM wawapokee
"...tulisikia akisema Rais anatekeleza Sera zetu,kweli rais anapambana na ufisadi na kuwasaidia watanzania,wanatoka bungeni kumpinga? Huu ni unafiki kama Mbowe angekuwa na busara angeenda kumuona rais ampe maoni yake si kumtega Rais ,angejataliwa ndio angeuambia umma tujue,tumechoka siasa za ovyo tunarudi CCM kumuunga Mkono Magufuli.."
Ndio tunajua kujipinga had mwenyewe ulichosemaHivi mnajua maana ya upinzani?!?
CHADEMA kweli wako IMARAChadema kweli wamichoka
Mgeja alikwenda kumwomba JK arudi CCM, JK alivyo kauzu akamwambia afanye press conference kueleza kwanini alitoka na kwanini anataka kurejea.. Mgeja akalala mbele ...Ukweli ni hamna anayeingia, ila wanaotoka ni wengi. Yaani hata wazee wa viroba ktk vituo vya mabasi akili zinaanza kuwarudi. Fika Segerea mwisho asubuhi kituo cha basi usikie stori zao.
Hongera kwa kutetea mafisadiumepewa kazi moja tu ya kukomaa na luwasa kibaya zaid kawaacha hatua mia mbili mbele hamna namna kila nkifuatiliaga post zako huwa zinamlenga luwasa una kazi ya ziada mkuu kuonesha kuwa wewe huna masihara ulitakiwa wewe na mwakyembe muunganishe nguvu zenu ili mumpeleke mahakamani la sivyo mtakuwa mnaumia kila siku huku jf.
Hongera kwa kutetea mafisadi
vijana wa ufipani....bangi zitawaumiza!umepewa kazi moja tu ya kukomaa na luwasa kibaya zaid kawaacha hatua mia mbili mbele hamna namna kila nkifuatiliaga post zako huwa zinamlenga luwasa una kazi ya ziada mkuu kuonesha kuwa wewe huna masihara ulitakiwa wewe na mwakyembe muunganishe nguvu zenu ili mumpeleke mahakamani la sivyo mtakuwa mnaumia kila siku huku jf.