Aisee km mtu hafaham cv za hawa wawili ukauliza prof yukwapi kati ya hao waili atakutajia mbowe....Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Usiwe mtumwa wa academic ranks dogo.Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Tangu lini ulichaguliwa kuwa msemaji wa watanzania?Siyo mbowe . Lipumba kawakosea heshima watanzania
Bora usiwe msomi sana ukawa na HEKIMAMbowe katika makosa yote kisiasa aliyowahi kufanya basi katika hili mbowe amemkosea sana ni bora angetulia kimyaa tuu ,
- Upande wa pili lipumba akianza kujibu mapigo mbowe huenda ikashuka heshima yake kisiasa maana akianza kuchambuliwa c.v yake hadharani itakuwa sasa ni issue nyingine
Irrelevant ni mbowe,aliibuka na ukuta akafeli kabla ya kuupandishaUkweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Hata ndumilakuwili naye ni professor,.. Sembuse huyo professor Lipumba.Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Siyo mbowe aliyeongea iliyoongea ni pesa za lowasa ndo zinamuchanganya dj mbowe
Kama kuwa profesa ni kuwa kama lipumba bora niishie darasa la sabaMbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Lipumba ni Profeselii si profesa ni mtu anayejiita profesa tu lakini kichwani anazidiwa akili na profesa maji marefu.Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii