Mbowe kakimbia ofisi?

Mwenyekiti wa Chadema amepotelea wapi? Tangu atoe tamko lililokosa mvuto katoweka kwenye viunga vya Ufipa.

Yeyote mwenye taarifa za nguli huyo wa kubadili gia angani atoe taarifa.

Jikite kupata jimbo achana na Mbowe na Chadema ubunge wa viti maalum siyo dili, ni ushauri tu take it or leave it.
 
Baada ya kupigwa nondo na Tundu Lissu, mmeamua kuhamishia mashambulizi yenu kwa Mbowe?
 
hivi watanzania uzalendo umepotelea wapi? yaani mtu anaandika kama hayawani kwa kufurahia kabisa kwamba nchi inapata matatizo kwamba ni jambo zuri kabisa na la kufurahisha. hvi suala kununua ndege ni la maslahi ya nani? ni la mtu binafsi au taifa? kwahiyo ni bora nchi ibaki bila ndege wala shirika la ndege kwasababu kufanya hivyo ni kulitia hasara taifa. kweli uwandazimu una fani siyo lazima kuokota makopo...
 
He's busy playing catch up, still he'a been pulled soo far away!!
 
Mwenyekiti wa Chadema amepotelea wapi? Tangu atoe tamko lililokosa mvuto katoweka kwenye viunga vya Ufipa.

Yeyote mwenye taarifa za nguli huyo wa kubadili gia angani atoe taarifa.
usisahau na lile deni la wachina wa samaki wa magu... lazima mkamuliwe mwaka huu tena sana coz mnajifanya mnajua sana kumbe mnaungua sasa
 
me ndo nafurahi mpaka nakasirika mana kwanza hta alete midege 1000 siipandi na hainihusu so acha nichekelee tu. umesahau na wale wachina waliowashinda kesi ya samaki.. mwafwaa lelo.. tabia ya kukulupuka imewakost dawa ni kulipa tyuu muache longolongo
 
kama unataka tuonyeshe uzalendo mwambie sizonje aanze yeye kuonyesha kwa kuwapa wanachi uhuru wa kuongea yanayo ihusu inji yao bila kamatakmata ya kijinga. maana mkiambiwa ukweli tu skuizi mnageuza mnasema uchochezi afu mnasema hatuna uzalendo mnataka uzalendo upi... mnaofanya nyie wa kuwafunga kamba za viatu na kutoa skamoo mkuu!!! shame!!!
 
Wewe ni mpumbavu..
Huna akili kabisa.
Unajua taratibu za manunuzi serikalini wewe au unashangilia tu kununuliwa kwa ndege??
 
atakuwa amehudhuria mikutano ya kimataifa , maana rais haendi ,so kiongozi wa kambi ya upinzani akaamua kuiwakilisha nchi .
 
Mwenyekiti wa Chadema amepotelea wapi? Tangu atoe tamko lililokosa mvuto katoweka kwenye viunga vya Ufipa.

Yeyote mwenye taarifa za nguli huyo wa kubadili gia angani atoe taarifa.
Nadhani bado anakata na kufunua sijui wapi huko.
 
Ila Sacco's ya wachaga kwa sasa imekosa mvuto!!. Chademaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…