Ushauri mzuri sana lakini ni kama unampigia mbuzi gitaa. Chawa wake na team Kizimkazi wamemzidi nguvu najua anajua uamuzi sahihi kwake ni upi lakini nguvu ya wapambe imemuelemea.Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe tuliekuzoea.
Hatua ya kwanza,waombe wapambe na wafuasi wako warudisheni silaha ndani.Pamoja na kuwa wewe binafsi hujatamka neno baya dhidi ya makamu wako lakini wapambe wako wamefanya hivyo.Muache makamu wako aeleze,atokote atakavyo lakini kama ulivyofanya kwa Slaa,Lowasa,Sumaye,Mashinji na wengine fanya hivyo hivyo kwa Makamu wako.
Pumzika,unganisha wanachama na wapenzi wa Chadema na furahia maisha.
Mbowe amezaliwa akakuta Benzi zimepaki hapo nje, wewe umezaliwa kwenye zizi la Mbuzi hakuna unacho jua,Hawezi. Mchumia tumbo na tamaa ya pesa vinamuendesha yule mzee.
Jambazi la kisiasa halisikii wala nini.Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe tuliekuzoea.
Hatua ya kwanza,waombe wapambe na wafuasi wako warudisheni silaha ndani.Pamoja na kuwa wewe binafsi hujatamka neno baya dhidi ya makamu wako lakini wapambe wako wamefanya hivyo.Muache makamu wako aeleze,atokote atakavyo lakini kama ulivyofanya kwa Slaa,Lowasa,Sumaye,Mashinji na wengine fanya hivyo hivyo kwa Makamu wako.
Pumzika,unganisha wanachama na wapenzi wa Chadema na furahia maisha.
Hawezi. Mchumia tumbo na tamaa ya pesa vinamuendesha yule mzee.
Mbowe wakati ana shughurikiwa na Magufuri mashamba yake yanaharibiwa kule Hai si mlikuwa kimya? Wajinga nyieUshauri mzuri sana lakini ni kama unampigia mbuzi gitaa. Chawa wake na team Kizimkazi wamemzidi nguvu najua anajua uamuzi sahihi kwake ni upi lakini nguvu ya wapambe imemuelemea.
Hata mimi nilikuwa naamini hivyo lakini nimeyaona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.Viongozi wameshinda lakini mkutano wa kujitambulisha hakuna watuHakuna Kujitoa ! Kama umetumwa na Lissu basi kaula wa chuyaa !
Kura ni ndani box sio mitandaoni !
Mbowe amezaliwa akukuta pesa ziko haoo, Baba yake Mbowe mzee Aikaeli amempiga sana tafu Nyerere, Mbowe sio kama wewe ambaye life umelijua ukubwaniJambazi la kisiasa halisikii wala nini.
Siku zake kisiasa zimeshafikia kwenye PERESI
Amzuie wenje kugomboea umakamu uenyekitiNajua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe tuliekuzoea.
Hatua ya kwanza,waombe wapambe na wafuasi wako warudisheni silaha ndani.Pamoja na kuwa wewe binafsi hujatamka neno baya dhidi ya makamu wako lakini wapambe wako wamefanya hivyo.Muache makamu wako aeleze,atokote atakavyo lakini kama ulivyofanya kwa Slaa,Lowasa,Sumaye,Mashinji na wengine fanya hivyo hivyo kwa Makamu wako.
Pumzika,unganisha wanachama na wapenzi wa Chadema na furahia maisha.
Raia walifanyaje? Kule Kenya wananchi huwa hawangojie tamko la Viongozi wao wa vyama, wao ni jeshi kamiliHata mimi nilikuwa naamini hivyo lakini nimeyaona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.Viongozi wameshinda lakini mkutano wa kujitambulisha hakuna watu
Sio yeye kuna nguvu kubwa nyuma yake inampushNajua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe tuliekuzoea.
Hatua ya kwanza,waombe wapambe na wafuasi wako warudisheni silaha ndani.Pamoja na kuwa wewe binafsi hujatamka neno baya dhidi ya makamu wako lakini wapambe wako wamefanya hivyo.Muache makamu wako aeleze,atokote atakavyo lakini kama ulivyofanya kwa Slaa,Lowasa,Sumaye,Mashinji na wengine fanya hivyo hivyo kwa Makamu wako.
Pumzika,unganisha wanachama na wapenzi wa Chadema na furahia maisha.
Baada ya kibwagizo, sasa jenga hoja tukueleweMbowe amezaliwa akukuta pesa ziko haoo, Baba yake Mbowe mzee Aikaeli amempiga sana tafu Nyerere, Mbowe sio kama wewe ambaye life umelijua ukubwani
Ina husiana nini na uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama,mbona kama hautumii akili hata kidogo?Mbowe wakati ana shughurikiwa na Magufuri mashamba yake yanaharibiwa kule Hai si mlikuwa kimya? Wajinga nyie
Hawa wako Idle sana ,wakitoka humu wanakimbilia kule kwa Yanga na SimbaEmbu mpumzisheni Mbowe aise,mtu yupo na Familia yake wanakula sikukuu nyie kutwa kumuwaza,yani kama vile hamna mambo ya kufanya.
Hoja ni kwamba mnasumbuliwa na umasikini, Mbowe wachaga wenzake ndio wanamjua fika, na wanashangaa maelezo yenuBaada ya kibwagizo, sasa jenga hoja tukuelewe
Unaumia ukiwa wapi mkuuHoja ni kwamba mnasumbuliwa na umasikini, Mbowe wachaga wenzake ndio wanamjua fika, na wanashangaa maelezo yenu
Unapiga kura? una chama ya CDM? Lisu aliksea tuingie Barabarani utatoka? nyie Keybord worrior ni wajinga sana.Ina husiana nini na uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama,mbona kama hautumii akili hata kidogo?