Mbowe: Jaji Lubuva utakuwa adui mkuu wa demokrasia

Haya ni maneno tu hata kwenye khanga yapo bana Lubuva anafanya kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni za NEC yeye mbowe asumbuka na chama chake cha ukoo.
Unakumbuka nyamagana kwa wenje? Mkurugenzi ili bidi amtangaze wenje baada ya kusikia nini kimezingira Nyumba Yake na family Yake ikiwa chini ya ulinzi.
Kama ujui hilo basi fuatilia kuhusu matoke ya ubunge wa nyamagana jinsi ulivyoleta balaa kwa huyu jaji kitakacho mtokea atajibeba.
 
Kwa hali ilivyo sasa Watanzania watasimama na kuhesabiwa iwapo NEC itaendelea na mchezo inaotaka kufanya kwa maelekezo ya CCM ili kukibeba chama hicho kinachochunguli mlango wa kuondoka madarakani.

Suala la Daftari la Wapiga Kura si suala la mzaha hata kidogo. Linabeba hatma nzima ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Kucheza na uchaguzi ni kukaribisha jambo la hatari kubwa.
 
mwisho wa intarahamwe umefika

Mimi mpiga raia wa Tanzania nimechokwa ufisadi na manyanyaso ya hawa maadui na makupe ya nchi yetu yaani CCM.

Nchi yetu ina maadui 4 nao ni ujinga, maradhi, umaskini na CCM.

Watanzania tuling'oe hili adui CCM kwa sababu uwezo, nia na sababu tunazo
 
Mbowe hajawahi kuwa mwelewa wala hatakuja kuwa mwelewa kutokana na uwezo wake mdogo wa kufikiri na fikra finyu za kimaendeleo.
Yanayojadiliwa hapa yapo above your reasoning and thinking capacity yako by far, better umalizie kuosha vyombo ukatenge chai. Baadae waweza kwenda MMU au Chitchat waweza kukuta mada za size yako.
 
Kwa hali ilivyo sasa Watanzania watasimama na kuhesabiwa iwapo NEC itaendelea na mchezo inaotaka kufanya kwa maelekezo ya CCM ili kukibeba chama hicho kinachochunguli mlango wa kuondoka madarakani.

Suala la Daftari la Wapiga Kura si suala la mzaha hata kidogo. Linabeba hatma nzima ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Kucheza na uchaguzi ni kukaribisha jambo la hatari kubwa.

Well said Makene,

Ila wajue kabisa hatupo tayari kuiona nchi yetu inapoteza dira na kuzidi kudidimia chini ya CCM.

This time around hakika tutakula nao sahani moja. Jaji LUBUVA na asome alama za nyakati
 
Last edited by a moderator:
Mpaka sasa tayari NEC imeonesha haijui kazi yake vizuri ama inakubali kuburuzika..

Sheria inawataka wao NEC watangaze tarehe ya kura ya maoni lakini badala yake Rais anatoa tangazo batili nao NEC wamekaa kimya tuu..

Upuuzi wao zaidi
Wanaandikisha wapiga kura kwa wiki moja wakati mashine inaandikisha watu 60 isipopata tatizo..hata robo ya watu hawataandikishwa
Tume imejionyesha kazi yake nikutumika vibaya na ccm
 
Unakumbuka nyamagana kwa wenje? Mkurugenzi ili bidi amtangaze wenje baada ya kusikia nini kimezingira Nyumba Yake na family Yake ikiwa chini ya ulinzi.
Kama ujui hilo basi fuatilia kuhusu matoke ya ubunge wa nyamagana jinsi ulivyoleta balaa kwa huyu jaji kitakacho mtokea atajibeba.

Hiyo ndio style itakayotumika kwa huyu Mzee asipokua Makini!! Huyu pamoja na wale wawili wa ESCROW wameshusha sana reputation ya Majaji!!
 
Kwa hali ilivyo sasa Watanzania watasimama na kuhesabiwa iwapo NEC itaendelea na mchezo inaotaka kufanya kwa maelekezo ya CCM ili kukibeba chama hicho kinachochunguli mlango wa kuondoka madarakani.

Suala la Daftari la Wapiga Kura si suala la mzaha hata kidogo. Linabeba hatma nzima ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Kucheza na uchaguzi ni kukaribisha jambo la hatari kubwa.
Kamanda makene ccm wanataka kuacha nchi sehemu mbaya
 
Ktk hili nec wasilete upuuzi.

Nchi yetu lazima iendeshwe kwa misingi ya demokrasia iliyo huru yenye mazingira sawa kwa wadau wote iwe chama tawala au chama pinzani

Hatutaki yaliyotokea 2010 ambapo hadi leo Tume haina hesabu kamili ya matokeo ya urais.

Suala la kujiandikisha na kura ya maoni ni suala nyeti sana na lazima Tume ihakikishe sheria na taratibu zinazimamiwa pamoja ja wadau wote kuwakilishwa sawa
 
Last edited by a moderator:
Unakumbuka nyamagana kwa wenje? Mkurugenzi ili bidi amtangaze wenje baada ya kusikia nini kimezingira Nyumba Yake na family Yake ikiwa chini ya ulinzi.
Kama ujui hilo basi fuatilia kuhusu matoke ya ubunge wa nyamagana jinsi ulivyoleta balaa kwa huyu jaji kitakacho mtokea atajibeba.

He he heeeee! 2015 mambo yatakuwa zaidi ya hivi
 
Mkuu Molemo huyu Jaji LUBUVA hajitambui kabisa; naona ameamua kuach weledi na akili pembeni na kukumbatia maagizo ya CCM.

Lakini kwa jinsi wananchi walivyochoka hakika naona huyu Jaji anaweza kutuletea uvunjifu wa amani maana hatutakubaliana na uchakachuaji wa aina wowote ule

Sijui kwanini huyu Kikongwe hachukui mfano wa Jaji Joseph Warioba
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi wao zaidi
Wanaandikisha wapiga kura kwa wiki moja wakati mashine inaandikisha watu 60 isipopata tatizo..hata robo ya watu hawataandikishwa
Si hivyo tu, wanatangaza kuanza kuandikisha Jumatatu wakati hadi sasa hawana uhakika lini vifaa vitafika toka walipoviagiza.
 
Hiyo ndio style itakayotumika kwa huyu Mzee asipokua Makini!! Huyu pamoja na wale wawili wa ESCROW wameshusha sana reputation ya Majaji!!

Hili tunalisema wazi na Serikali na ccm wajue kuwa tulichokifanya kwa Halima hapa Kawe na ubungo ndicho tutakacho kifanya nchi nzima bila kuogopa Polisi na jeshi haki isipotendeka tutaitafuta kwa marungu na mapanga hilo liko wazi ccm wasije kujaribu tena tumechoka
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amemuonya vikali Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na Tume yake kwamba kamwe chama chake hakitakubaliana na vitendo vya hujuma ambavyo tayari tume hiyo imeanza dhidi ya chama chake na upinzani.

Mwenyekiti huyo akizungumza na baadhi ya Vyombo vya Habari vilivyoomba maoni yake baada ya NEC kutoa ratiba ya uandikishaji wa wapiga kura, alimtaka Jaji Lubuva asiwe adui wa demokrasia.

Amemwambia kitendo cha kucheza na demokrasia Kama anavyofanya kama vile anaamua suala la nyumbani kwake wakati nchi nzima iko kwenye tension ya kuhusu Daftari la Wapiga Kura na mfumo wa BVR, atajiandalia mazingira ya kuwa mtu wa kwanza kwenda ICC- Mahakama ya Kimataifa

Alimwambia pia kuwa suala la uandikishaji ni suala la kidemokrasia ambao wapo watu wameumia, kufanywa walemavu na hata kuuwawa Kwa ajili ya suala hilo.

Anapokuwa anafanya maamuzi Kama vile anafanya mzaha wa nyumbani kwake aelewe Watanzania wanamwangalia Kwa makini.

Kwa umri wake alionao na hadhi yake katika Jamii alistahili kutumia busara kuliko anazotumia kutokana na kukubali kutumika au kupokea maelekezo ya CCM kwa nia ya kukibeba chama hicho na serikali yake.

Kiongozi huyo wa upinzani bungeni aliendelea kusema Maamuzi anayofanya Lubuva na tume yake yanatengeneza tension kubwa Kwa jambo la kidemokrasia...na sasa anaweza kulazimisha Watanzania waanze kushughulika na Tume moja Kwa moja.

Naye Mkuu wa Idara na Habari na Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene amesema kuwa Mwenyekiti Mbowe amelazimika kutoa tahadhari Kwa NEC baada ya taasisi hiyo kuendelea kuonesha kuwa haiheshimu dhamana kubwa iliyonayo Kwa Watanzania na kwamba nchi imekuwa Kwenye tension ikisubiri maamuzi ya NEC tangu mwaka Jana.

Makene amesema kuwa Mwenyekiti Mbowe amemtaka Jaji Lubuva kuja na majibu ya hoja za wadau Kwenye kikao kilichoitishwa kati ya NEC na vyama vya siasa.

Kati ya lubuva na mbowe ninani ambae ameichezea democrasia?

Hivi mbowe huwa anamtu anaemuandalia spich ya kuongea?
Mbowe ameifinyanga democrasia ndani ya cham chake eti nae leo anamshutumu lubuva duuu kweli kutokujitasmin ni kubaya sana

Usitishe watu kwakusema utakuwa wa kwanza kwenda hague
Nawe unaweza kuwa wa1 kwenda huko kwa siasa zenu za kumwaga damu
 
He he heeeee! 2015 mambo yatakuwa zaidi ya hivi

Lasikoki@ tumechoka Ndugu haki yetu atutaiona inapotea kabisa ccm na tume inataka kutuletea uhuni wa kijinga wakutaka kuwafanya watanzania ni wajinga huyu jaji atajutia maisha Yake ya uzeeni.
 
Kati ya lubuva na mbowe ninani ambae ameichezea democrasia?

Hivi mbowe huwa anamtu anaemuandalia spich ya kuongea?
Mbowe ameifinyanga democrasia ndani ya cham chake eti nae leo anamshutumu lubuva duuu kweli kutokujitasmin ni kubaya sana

Usitishe watu kwakusema utakuwa wa kwanza kwenda hague
Nawe unaweza kuwa wa1 kwenda huko kwa siasa zenu za kumwaga damu

Kila nikirudia kusoma ulichoandika sielewi, hivi operation kimbunga ilikuacha salama kweli?
 
Kwa hali ilivyo sasa Watanzania watasimama na kuhesabiwa iwapo NEC itaendelea na mchezo inaotaka kufanya kwa maelekezo ya CCM ili kukibeba chama hicho kinachochunguli mlango wa kuondoka madarakani.

Suala la Daftari la Wapiga Kura si suala la mzaha hata kidogo. Linabeba hatma nzima ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Kucheza na uchaguzi ni kukaribisha jambo la hatari kubwa.

Makene kaoshe vyombo ukimaliza uombe ruhusa kwa mumeo ya kuingia na kuongea unatuletea takataka za maandishi
 
Teuzi za kubebanabebana na 'ushikaji' husababisha kuwa na aina hii ya kiongozi wasiojitambua.

Ngoja alikoroge ili ajue aina ya watanzania anaotempa nao
 
Tune ya Uchaguzi ndilo chaka la CCM ukiongezea na katiba mbaya ambayo inazuia matokea yaliyotangazwa na TUME kuhusu urais kutokuhojiwa na popote hata mahakamani , Mwaka huu wananchi tumechoka CCM iache ujanjaujanja hatutakubali aheri watuue wote.

Hakika ndilo chaka la CCM
 
Back
Top Bottom