Mbowe hutoa wapi pesa kuikopesha CHADEMA?

Wacha itoke maana hata mwenye mimba hajulikani
mxweeeu, hahahahahahahahaha
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Jamani Jamani.. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Wakudadavua ni mshambuliaji namba 9 wetu ..huyu tumemsajili kuishambulia CHADEMA tuu hadi ifwee... Ila anayo ID nyingine hiyo inausajili mwingine tuu..
 
Jamani Jamani.. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Wakudadavua ni mshambuliaji namba 9 wetu ..huyu tumemsajili kuishambulia CHADEMA tuu hadi ifwee... Ila anayo ID nyingine hiyo inausajili mwingine tuu..
Jikite kwenye hoja
 
Kamanda hapa ni JF...wamo humu humu
Hicho unachokitaka hapa hutakipata hata hapo lumumba wanayao ambayo hamuyaweki hapa kwa sababu sio pahala pake.

Swali, kinachokuuma nini?

Huna ajenda nyengine kila siku Chadema+Mbowe?

Hoja yako wa hicho unachokitaka unashidacho kama wewe nani ndani ya Chadema?
 
Mwambie huyo ndumilakuwili alitoka cdm kwa tamaa ya kuahidiwa madaraka?
 
Jibu ni rahisi siasa ni biashara inayomwingizia Kipato mwanasiasa.
Hawezi kuacha shughuli Zake ashughulikie siasa ambayo haimlipi.
Hiyo mikopo hewa nisehemu ya malupulupu ya Kazi ya uanasiasa.
 
Swali muhimu ambalo lingejibu swali LA mleta mada lingekuwa: Mwenyekiti wa CCM hayo maburungutu ya fedha anayozunguka nayo akigawa kwa wapiga kura huwa anapata wapi?
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨
Thread closed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…