Mbowe hutoa wapi pesa kuikopesha CHADEMA?

Nenda Takukuru wape vielelezo waanzishe uchunguzi,
Kila siku ukija humu Mbowe na Chadema,
Hata CCM wanakushangaa hicho ndiyo Kipaumbele chako huko CCM.

Subirini kukatwa nyie wahamiaji haramu ,wenye Chama wanawaangalia tu jinsi mnavyokurupuka.
 
Kamanda jibu hoja....je riba ni asilimia ngapi?
 
huyo mfanya biashara anachukua ela za ruzuku anakopesha chama
 
Ayo unayotaka wewe yalimponza Chacha wangwe, alijikuta yupo kwenye mgogoro mkubwa na DJ. RIP Chacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…