Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,130
- 127,065
Ukweli ni kuwa pesa za chama zinaingia kwenye account binafsi ya Mbowe, na kuna upendeleo kwenye kupata wawakilishi i.e wabunge nk. Kuna fedha chafu zimeingizwa cdm, huo ndio ukweli kama umejikita kwenye ukweli. Matusi na kejeli ni mambo madogo ambayo yako kote na hayakwepeki. Mbowe akae pembeni ameshakaa kwenye nafasi hiyo muda mrefu asitafute kupata aibu.Kwa nini nyie Machadema Baadhi yenu hamtaki ukweli?
Ungesema hayo ndio madhara ya kulea watukanaji na waropokaji ila wasio na hoja