Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,770
- 12,147
ni wa kwaoMi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan
Mbowe ana masilahi gan na CCM?
ni wa kwaoMi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan
Mbowe ana masilahi gan na CCM?
wakiongozwa na mama yao. hadi kumuona kama Simba (mfalme wa pori)CCM wanamuogopa sana tundulisu
Mbowe kamtaja Lissu, au ndiyo unaona ipendeze jukwaa?Bwana Lisu mara kadhaa amekuwa akimkejeli boss wake huyo bila kujali utu wake
Kwani unaisaidia nini, umechelewa, anza leo. Wewe unadhani Chadema inakufahamu?Ndio ushangae sasa, adui anakuchagulia Mwenyekt!
Ni dhahiri ma ccn yanamhara sana TL na CHADEMA nitaichukia milele ikibaki na Mbowe badala ya Lissu.
Yeye Mbowe kamtaja Lissu? Mbona unajistukia.Katika matamshi ya Lissu sikuwahi kusikia akimtaja mbowe jina kwa ubaya! Lissu anajaribu kueleza mabaya tu yaliyotokea katika chama kwa muda mrefu hajaangaliwa ili kupewa ufumbuzi.
Kwa nini nyie Machadema Baadhi yenu hamtaki ukweli?Hayo ndio madhara ya kukaa madarakani muda mrefu hadi zitumike njia zote kukutoa. Ni kipi Mbowe hajafanya kwenye hii miaka 20, hadi itumike nguvu kubwa kumfanya akae pembeni? Asome alama za nyakati, wakati ukuta.
Tunafurahia Machadema yakivurugana.Mi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan
Mbowe ana masilahi gan na CCM?
Pia tulikuwaga upande wa Sugu lakini Msigwa Yuko upande gani? Machadomo hamnaga akili.Mi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan
Mbowe ana masilahi gan na CCM?
Kwani aliyekuwa anamkashifu mgembea mwenzie ni nani kama sio Lisu?Mbowe kamtaja Lissu, au ndiyo unaona ipendeze jukwaa?
Vipi, Mbowe hakusema lolote kuhusu CCM; hasa uchafuzi wa hivi karibuni? Naona Mbowe sasa anawakoga roho CCM pakubwa sana!
Hujaona akimdhalilisha kwenye mambo ya hela? Hukusikia akimdhahaki baada ya Kukamatwa? Hukuona akimnanga baada ya matokeo ya serikali za Mitaa.Katika matamshi ya Lissu sikuwahi kusikia akimtaja mbowe jina kwa ubaya! Lissu anajaribu kueleza mabaya tu yaliyotokea katika chama kwa muda mrefu hajaangaliwa ili kupewa ufumbuzi.
Rais wenu wa mioyoni na mitandaoni na WA wanaharakati 😁😁wakiongozwa na mama yao. hadi kumuona kama Simba (mfalme wa pori)
Endeleeni kumdanganya Mbelgiji wa Amsterdam 😆😆Naona Mbowe kaambukizwa alipo kuwa huko kwenye "Mazungumzo ya Ulaghai"---, na yeye sasa anadai matumizi ya "lugha za staha"?
Haya yote hayata badili chochote katika hali iliyopo sasa. Mwenyekiti Mbowe na Mmwenzake wa CCM wabaki na ulaghai wa maswala mepesi kama hayo ya "kutukanwa" huku treni ya mambo muhimu kwa nchi yetu yaki pamba moto. WaTanzania hawa hadaiwi tena.
Kwa nini? Hakuna anaeogopwa na CCMCCM wanamuogopa sana tundulisu
Wapi Lisu katajwa mbona unaweweseka? 😆😆Wewe ndiye umetafsiri kwa mtazamo wako. Maccm ghafla mumekuwa mashabiki wa Mbowe. Lissu amewashika pabaya kweli kweli.
Mtag MboweKuchafuana kwenye siasa ni kawaida toka enzi to enzi.
Be smart.
Ndio imeshajulikana rangi ya ngozi ya ccm ilivyo juu ya chadema.Mi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan
Mbowe ana masilahi gan na CCM?
CHADEMA CHINI YA MBOWE HAINA MENO YA KUKEMEA UOVU WA AINA YOYOTE IT'S USELESSMi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan
Mbowe ana masilahi gan na CCM?
Naunga mkono hoja,Lisu amekuwa na tabia ya kumsema mtu badala ya kunadi sera zake.
Yaani Kampeni ya Lisu inalenga kumchafua Mbowe na kudharau mchango wake Kwa maslahi ya uroho wa madaraka.
Bwana Lisu mara kadhaa amekuwa akimkejeli boss wake huyo bila kujali utu wake.
View: https://x.com/Jambotv_/status/1868359711134974176?t=PcHsXqsk7FNMPtyuUrK8dQ&s=19
My Take
Naona Mwenyekiti (Mwenye Chama ) ameamua kukunjua makucha.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1868369429005730122?t=09RhiKEd3hlxybuDotzlBQ&s=19
Wewe hapo hata uchaguzi wa serikali za mitaa,hukupiga kura waka kujiandikisha.Mi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan
Mbowe ana masilahi gan na CCM?