Mbowe & co wanahamasisha vurugu

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Nimemsikiliza sana Mbowe na wenzake katika kampeni za uchaguzi Arumeru, amehamasisha wananchi kuhudhuria mkesha tarehe 1/04, huu ni uhuni. Anahamasisha vurugu. Kama kuna tume ya uchaguzi kwanini wananchi wapoteze mud wao kukesha? Nadhani ni muendelezo wa ile picha ya Lema kujipeleka mahabusu mwenyewe inaendelea.

Jeshi limejipanga kukabiliana na uhuni wa CDM



CCM SOLDARITY FOREVER.

​
 
badili rangi ya maneno kwanza, inaumiza macho sana.
Haisomeki hasa kwa mobile.

Weka angalau blue au dark pink.
 
Hapo ndo umeona umetoa stori ya maana sana?
Haina mashiko.



QUOTE=Mzee;3580198]Nimemsikiliza sana Mbowe na wenzake katika kampeni za uchaguzi Arumeru, amehamasisha wananchi kuhudhuria mkesha tarehe 1/04, huu ni uhuni. Anahamasisha vurugu. Kama kuna tume ya uchaguzi kwanini wananchi wapoteze mud wao kukesha? Nadhani ni muendelezo wa ile picha ya Lema kujipeleka mahabusu mwenyewe inaendelea.

Jeshi limejipanga kukabiliana na uhuni wa CDM



CCM SOLDARITY FOREVER.

​
[/QUOTE]
 
wewe unataka wakalale wamwachie nani kura zao? Tume ya uchaguzi,polisi,uwt wote wanalinda kura za magamba. Ushindi wa chadema unapatika kwa kulinda kura zao period.
 
unaumwa kweli wewe............... tumeshiriki mikesha mingapi ya mbio za mwenge?

imekuwaje wewe uwe msemaj wa jeshi ?? ina maana jeshi letu limeishiwa hadi kukachia wewe maamuma kuwa msemaji wao?
 
Tehe tehe ... mnatishika mkiambiwa kura zitalindwa eh..mlishazoea janja janja...
 

Nadhani umemuelewa vizuri, na kama wewe ni mpiga kura wa arumeru mashariki basi mchague Joshua Nasary awe mbunge wako kuitikia wito wa kamanda Mbowe. magamba wenzio taarifa za kumtosa sioi kwenye sanduku la kura wanazo mlibaki wewe na wenzio wachache sana, hamzidi 15, wape taarifa. peopleeeeees!!!!
 
Lazma tulinde kura zetu hata kama magamba (ccm)wameandaa magari ya washa washa na mabomu ya machozi hatutaondoka kamwe.
 
bado unahitaji kurudi darasani.,inaelekea unauelewa mdogo sana wa kupambanua mambo
 
Nimeutafuta uchochezi kwenye maandishi ya rangi isiyosomeka bila mafanikio! Nimefuatilia kwa makini kauli za Mbowe & co kuona kauli za uchochezi bila mafanikio, zaidi sana nimeambulia kuona/kusikia wakihamasisha amani na ustaarabu, kwasababu hiyo nahitimisha kwa kusema mzee yaonekana wewe ni mtu wa vurugu na ni jadi yako/yenu.
 
Nimetafakati ni mpuuzi gani aweza Andika hii then nikaona I'D yako inaitwa Mzee nikaelewa, mnataka kuiba Kura? This time mtapata uja uzito !


 
Huyu ni mwanaume mwenzetu, lakini amini usiamini, jamaa anatumika na mashababi wngine!
 
Huyu ni mwanaume mwenzetu, lakini amini usiamini, jamaa anatumika na mashababi wngine!
hahahahahaa........
yu huwa anatokea kipindi cha uchaguzi mdogo tu!!
nakumbuka Igunga alitokea, nikamshughulikia,
akaanza kulialia kwa MODS na PM!!
 
hata huku kwetu tulikesha kulinda kura zetu,
magamba yalishindwa kuchakachua kura za diwani wetu,
polisi walipiga mabomu ya machozi, baruti, mpaka wakaishiwa,
mwishowe wakamlazimisha m/kiti wa mtaa kutangaza matokeo saa saba za usiku, vinginevyo wasingeendelea kumpa ulinzi.
Hongera kamanda Mbowe kwa kusisitiza hilo.
 
hata huku kwetu tulikesha kulinda kura zetu,
magamba yalishindwa kuchakachua kura za diwani wetu,
polisi walipiga mabomu ya machozi, baruti, mpaka wakaishiwa,
mwishowe wakamlazimisha m/kiti wa mtaa kutangaza matokeo saa saba za usiku, vinginevyo wasingeendelea kumpa ulinzi.
Hongera kamanda Mbowe kwa kusisitiza hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…