Mbowe azidisha ulaghai

Vip ka kikwete alisema anawajua wauuza bwimbwi sasa anamaliza muda bila kuwataja inaweza ikawa anamasilahii
 
Angepeleka huyo Rais angefanya kitu gani tofauti??
 
Huyu jamaa ana sema anachojua make yame tokea mambo mengi tuna sikia na mengine kuyashuhudia lakini yana hachwa hivyohivyo kwanza mboe anashangaa serikali na viongozi Wa Ccm kwa ujumla
 
No research,no right to speak.Unajua kuna watu wengine hata uletaji mada yake utajua ni kanjanja,unaweza ukapoteza muda wako kubishana naye na energy.Kubishana na watu wa buku 7 ni kazi sana,wengi unakuta wamelishwa maneno.

Kuna walishwa maneno zaidi ya misukule ya Ufipa?? Wee Sukule unaweza hoji chochote ndani ya lichagadema?? Funguana mashati kuwaza kwa kutumia 0713 Msukule mkubwa wewe
 
Mbowe ni muongo, mnafik, mzandik na fataani.

Kama yu mkweli aulete huo ushahidi.
 
Huyu Mhe. Mbowe anawalaghai watanzania ili apate umaarufu lakini anasahau kuwa watanzania baada ya kung'amua ulaghai wake nao wanamlaghai, japo Yeye hajui, kuwa watamuunga mkono kufikia malengo yake. Akumbuke mwindad mwindwa, walinena wahenga.
 
Songa mbele kamanda Mbowe, wanaokutupia mawe yawarudie wenyewe, tunashukuru kuzidi kutumbusha kuwa Mbowe ni kiongozi bora, na kiongozi bora wa upinzani lazima asakamwe na ccm kwa namna mbalimbali, kama kutengeneza wasaliti ndani ya chama kama kina zitto na vibaraka wote, na njia nyinginezo, na ukiona kiongozi wa upinzani anapendwa na ccm, anaprotiwa na magazeti ya uhuru, habari leo, jambo leo, huyo siyo mpinzani, kashanunuliwa, na huyo ni zitto na wenzie, mtasubili sana vibaraka, nafasi zenu zinajazwa na wazarendo wa kweli, tunawasha moto, muda wa ukombozi ni sasa, tunamtanguliza Mungu mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…